Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Kila mtu aishi kwenye Uchumi wake anaoweza kuumudu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mziki wa online si mchezo aisee mfano hio reebok classic ni $85 kuinunua online 85 x2405 tshs exchange rate hapo jumla ni 173, 825 tshs bado shipping mfano shipping ni $40 x 2405 = 81,800 = jumla ni 173,825 + 81,800 = 255, 625 hapo bado kodi ya TRA ambayo ni nusu bei ua kununulia 86,912 tshs hapo jumla ni 342,000 sasa uchumi gani wa kununua kiatu hicho 342,000 feki yake inauzwa kati ya 55,000-65,000 kariakoo



 
Najua ukigundua kuwa umepigwa hutakuja kusema humu,itakuwa siri yako...
 
Shipping tumia anga , wanapima kilo, 1kg =15 USD
 
Hela unamtulafutia nani?

SPEND YOUR MONEY BRO.

Ziache uliowaachia urithi wazitumbua kwa kuhonga malaya.

SPEND YOUR MONEY BRO.

HUKO BANK UNAZIWEKA NA...
1. kuvaa nguo MOJA kisa original.
2. Kuvaa saa MOJA kisa original.
3. Kuendesha gari MOJA kisa original.

Huo Originality na kufukia hela benki unasubiri shahaw* ili zizae au?

SPEND YOUR MONEY BRO.

PUNGUZA MINIMALISM A.K.A MEAN.

#YNWA
 

Mimi ukiniuliza huwa napunguza bei kwenye kila kitu, ili nisionekane nimepigwa.... ukienda dukani ukute bei juu napata faraja kidogo.[emoji276]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…