Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Let him be. Don't burst his bubble.

He is happy with his shoes. He feels like a real champ right now, be happy for him.

Ican imagine the feeling of not being able to afford something then all of a sudden you come across the same shoe at a price you can afford.
Kila mtu aishi kwenye Uchumi wake anaoweza kuumudu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeula, hapa bongo viatu OG vichache Sana , tunadanganyana Tu na brand , kiatu cha 20000 unauziwa 80000 , Bora uagize nje kwenye uhakika ..... Respect to Kariakoo , nishawah nunua mkanda 3000 pale wakat madukan ni 15000 , the same brand and quality
Mziki wa online si mchezo aisee mfano hio reebok classic ni $85 kuinunua online 85 x2405 tshs exchange rate hapo jumla ni 173, 825 tshs bado shipping mfano shipping ni $40 x 2405 = 81,800 = jumla ni 173,825 + 81,800 = 255, 625 hapo bado kodi ya TRA ambayo ni nusu bei ua kununulia 86,912 tshs hapo jumla ni 342,000 sasa uchumi gani wa kununua kiatu hicho 342,000 feki yake inauzwa kati ya 55,000-65,000 kariakoo

Screenshot_20210428-100343_Samsung Internet.jpg

Screenshot_20210428-100335_Samsung Internet.jpg
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Najua ukigundua kuwa umepigwa hutakuja kusema humu,itakuwa siri yako...
 
Mziki wa online si mchezo aisee mfano hio reebok classic ni $85 kuinunua online 85 x2405 tshs exchange rate hapo jumla ni 173, 825 tshs bado shipping mfano shipping ni $40 x 2405 = 81,800 = jumla ni 173,825 + 81,800 = 255, 625 hapo bado kodi ya TRA ambayo ni nusu bei ua kununulia 86,912 tshs hapo jumla ni 342,000 sasa uchumi gani wa kununua kiatu hicho 342,000 feki yake inauzwa kati ya 55,000-65,000 kariakoo

View attachment 1766252

View attachment 1766253
Shipping tumia anga , wanapima kilo, 1kg =15 USD
 
Huwezi nishawishi kuwa mtu anayebadili matambala frequently ana hela kuliko mtu anayevaa vitu original kwa muda mrefu. Mtu anunue Noah akae nayo miaka mitatu kisha aipeleke scrapping na mwingine anunue Discovery 4 ili akae nayo miaka tisa then uje kunambia aliyenunua Noah tatu ndani ya miaka tisa ana hela kisa hataki kukaa na kitu muda mrefu. Sikubaliani na hilo.

Unajua mtu akinunua saa yoyote ya Patek Philipe anakaa nayo miaka mingi. Utasema anafanya ujinga bora angenunua hivi visaa vya milioni 2 ili abadili kila mwaka.

Sifa kubwa kabisa ya matajiri ni kuwa na collection ya vitu kama magari, viatu, suti, etc. Hukutani na collection ya Noah na Probox kwenye home garage, raba za elfu tano kabatini au suti za laki moja.
Hela unamtulafutia nani?

SPEND YOUR MONEY BRO.

Ziache uliowaachia urithi wazitumbua kwa kuhonga malaya.

SPEND YOUR MONEY BRO.

HUKO BANK UNAZIWEKA NA...
1. kuvaa nguo MOJA kisa original.
2. Kuvaa saa MOJA kisa original.
3. Kuendesha gari MOJA kisa original.

Huo Originality na kufukia hela benki unasubiri shahaw* ili zizae au?

SPEND YOUR MONEY BRO.

PUNGUZA MINIMALISM A.K.A MEAN.

#YNWA
 
Ila hakuna kitu kinaniuma kama ninunua kitu nikajiona nimepata kitu kumbe nimepigwa na sio og au siku nakivaa au nakutumia nakuta watu wamevivaa kila kona, nimenunua baada ya siku chache kinaharibika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naanza kuichukia hiyo product na najikuta sikitumii kabisa

Mimi ukiniuliza huwa napunguza bei kwenye kila kitu, ili nisionekane nimepigwa.... ukienda dukani ukute bei juu napata faraja kidogo.[emoji276]
 
Back
Top Bottom