Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
AhhahaWe mchonganishi sifa gani za kumpamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhhahaWe mchonganishi sifa gani za kumpamba
😂😂😂 na sie tunaangalia tu. Barabaran mwenye hivi viatu tutakujua
Jamaa huwa mbishiiNimejikuta nacheka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....! Kwa hiyo bado ameibiwa?Mi nimeuza elfu5 juzi
Weeeeeee kwa hizi comments nahisi atavitupa sio muda mrefu, jamaa anajikaza tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutaka kuonesha kasimamia msimamo wake.Jamaa huwa mbishii
Bado Watoto,wakikua na wao wataanza kupenda simple shoes!! Mi nakumbuka enzi zangu nilikua Mgonjwa sana wa Yale maraba ya Fila, siku hizi hata ukinipa million sivai!!Hiyo mijagi mnaipendea nini?
Kila mtu aishi kwenye Uchumi wake anaoweza kuumudu!!Let him be. Don't burst his bubble.
He is happy with his shoes. He feels like a real champ right now, be happy for him.
Ican imagine the feeling of not being able to afford something then all of a sudden you come across the same shoe at a price you can afford.
Mziki wa online si mchezo aisee mfano hio reebok classic ni $85 kuinunua online 85 x2405 tshs exchange rate hapo jumla ni 173, 825 tshs bado shipping mfano shipping ni $40 x 2405 = 81,800 = jumla ni 173,825 + 81,800 = 255, 625 hapo bado kodi ya TRA ambayo ni nusu bei ua kununulia 86,912 tshs hapo jumla ni 342,000 sasa uchumi gani wa kununua kiatu hicho 342,000 feki yake inauzwa kati ya 55,000-65,000 kariakooMkuu umeula, hapa bongo viatu OG vichache Sana , tunadanganyana Tu na brand , kiatu cha 20000 unauziwa 80000 , Bora uagize nje kwenye uhakika ..... Respect to Kariakoo , nishawah nunua mkanda 3000 pale wakat madukan ni 15000 , the same brand and quality
Mkuu umeula, hapa bongo viatu OG vichache Sana , tunadanganyana Tu na brand , kiatu cha 20000 unauziwa 80000 , Bora uagize nje kwenye uhakika ..... Respect to Kariakoo , nishawah nunua mkanda 3000 pale wakat madukan ni 15000 , the same brand and quality
Najua ukigundua kuwa umepigwa hutakuja kusema humu,itakuwa siri yako...Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Shipping tumia anga , wanapima kilo, 1kg =15 USDMziki wa online si mchezo aisee mfano hio reebok classic ni $85 kuinunua online 85 x2405 tshs exchange rate hapo jumla ni 173, 825 tshs bado shipping mfano shipping ni $40 x 2405 = 81,800 = jumla ni 173,825 + 81,800 = 255, 625 hapo bado kodi ya TRA ambayo ni nusu bei ua kununulia 86,912 tshs hapo jumla ni 342,000 sasa uchumi gani wa kununua kiatu hicho 342,000 feki yake inauzwa kati ya 55,000-65,000 kariakoo
View attachment 1766252
View attachment 1766253
Mkuu uvaaji Mara nyingi unaenda na umri wako pamoja na Mazingira uliyomo kwa wakati huo!!Kwa kweli siwezi kuvivaa viatu vya dizaini hio hata viwe OG,vinawapendeza wachunga ng'ombe.
Ngoja nii google hio anga mkuu embu weka jinsi hio website inavyoitwa binafsi natumiaga aramex au myus weka tuone kama ipo fresh tu enjoy unafuu huo woteShipping tumia anga , wanapima kilo, 1kg =15 USD
Jana nilifua nikaanika viatu vyangu kama hivyo vikaibiwa, possibly umeuziwa viatu vyanguNikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa.
Acha ushamba,,ukifua Mara mbili hakuna kiatuI don't care. Uzuri nikivaa hakuna anayejua nimevaa fake boots. Naonekana nimevaa viatu vya gharama kubwa sana. Huoni mimi ndio mjanja?
Hela unamtulafutia nani?Huwezi nishawishi kuwa mtu anayebadili matambala frequently ana hela kuliko mtu anayevaa vitu original kwa muda mrefu. Mtu anunue Noah akae nayo miaka mitatu kisha aipeleke scrapping na mwingine anunue Discovery 4 ili akae nayo miaka tisa then uje kunambia aliyenunua Noah tatu ndani ya miaka tisa ana hela kisa hataki kukaa na kitu muda mrefu. Sikubaliani na hilo.
Unajua mtu akinunua saa yoyote ya Patek Philipe anakaa nayo miaka mingi. Utasema anafanya ujinga bora angenunua hivi visaa vya milioni 2 ili abadili kila mwaka.
Sifa kubwa kabisa ya matajiri ni kuwa na collection ya vitu kama magari, viatu, suti, etc. Hukutani na collection ya Noah na Probox kwenye home garage, raba za elfu tano kabatini au suti za laki moja.
Kwanini umepanda juu ya meza?
Ila hakuna kitu kinaniuma kama ninunua kitu nikajiona nimepata kitu kumbe nimepigwa na sio og au siku nakivaa au nakutumia nakuta watu wamevivaa kila kona, nimenunua baada ya siku chache kinaharibika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naanza kuichukia hiyo product na najikuta sikitumii kabisa