Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Comment Yako haipo fair.Umaskini mbaya sana.. tafuta hela mkuu.
Hayo maviatu fake utaona ni uchafu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda hajafika anapotaka kufika katika maisha yake lakini ananunua anachotaka kwa hela yake bila kuiba kwa mtu.
Muache afurahie kidogo anachopata. Huenda unamuona yeye ni masikini kwa macho Yako ila na wewe hapo ni masikini wa kutupwa kwa mwingine.
We are not the same. Look at the fingers on your hand. They are not the same. Yes that's how we differ.