Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Sijaona umuhimu wa OG.Faida ipo wewe. Juzi nimenunua Vans mpya hapo Kariakoo shimoni kwa 20k ila najua ina masharti kibao. Kwanza inabidi usiianike kwenye jua kabisa, yani bora uianike ndani hata wiki kuliko juani masaa mawili. Wakati huo ningenunua Vans original kwa 40k ningeanika juani kiasi mpaka ikauke. Pia material yanachoka mapema, unakuta mavitambaa yanatengeneza shape mbaya ukivaa...
Sasa kama unanunua kitu ili ukivae mwaka duh mbona ni indicator ya umasikini?
Vaa viatu miezi kadhaa then tupa kulee.
Unamiliki kitu mwaka wakati dukani kila siku something new is arising.
#YNWA