Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Ni umaskini mkubwa sana kununua vitu ili uishi navyo muda mfupi kwa vile vitaharibika mapema.

Ni tabia za watu maskini kununua counterfeit, knockoffs, fake products zenye bei nafuu na ubora hafifu huku wakijisifia wamebana matumizi.
Ni umaskini vilevile kupenda kuwa na vitu vipya ila feki. Yani mtu kuhesabu idadi ya pair za aina ileile ulizonunua kwa mwaka kisa zilikuwa feki hazidumu ndio umaskini wenyewe. Badala yake ungejivunia kitu halisi.

Nenda kwa wenye hela unakuta ana collection ya viatu kibao quality vina miaka hata minne anavaa hata 6× per year. Kiatu nakinunua 30k nakitunzaje miaka
Unavaa kitu ili kidumu then?
Sasa hiyo Kazi unamfanyia nani ikiwa kiatu kimoja unavaa mwaka.

Spend your money bro LIFE IS SO SHORT.

Nunua nguo ya event ukitoka gawa au tupa..
Nunua jinsi vaa mara kadhaa tupa au gawa.

Hebu tumia hizo hela zikuzoee.

Zina banki zinasubiri shahaw* ili zizae?

Na kama tungekua tunavaa vitu miaka SASA MITUMBA INATOKA WAPI?

Kuna mtu huku alinunua kiatu mwezi 11 akavaa kwenye graduation yake, yaani mwamba mpaka hajanunua kimpya kisa ni original.

Sasa najiulizaga kama kuvaa bahili hivi HIZI HELA ANAMTAFUTIA NANI?

#YNWA
 
Hivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Faida ya kuvaa og ni Moja tu..tukinuna pamoja leo baada ya miezi sita chako cha mchina kitakuwa dampo na changu og nitakivaa kwa miaka Mingi kikiwa na ubora wake uleule
 
Hivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Fake inakuingiza gharama mara zaidi ya original , hazichukui round zinaharibika haraka itakibidi utamani kununua tena, original ni mambo ya ubora kwa upande wangu
 
Hila nikiona kijana amevaa raba za hivyo sijui naonaje, yani hapo anajiona bling bling sana
 
Let him be. Don't burst his bubble.

He is happy with his shoes. He feels like a real champ right now, be happy for him.

Ican imagine the feeling of not being able to afford something then all of a sudden you come across the same shoe at a price you can afford.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani wewe
 
Kuna kiatu nilinunua duka flani hivi la wasabato pale Mwenge sijui kama bado lipo, aisee wale jamaa wanauza ngozi original kabisa. Yani kile kiatu mpak sasa hivi bado kiko vile vile na ninavaa kila siku
Hakiwezi kuwa vile vile acha kutupiga kamba, soli imelika upande unasemaje kipo vile vile [emoji23][emoji23]
 
Ila hakuna kitu kinaniuma kama ninunua kitu nikajiona nimepata kitu kumbe nimepigwa na sio og au siku nakivaa au nakutumia nakuta watu wamevivaa kila kona, nimenunua baada ya siku chache kinaharibika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naanza kuichukia hiyo product na najikuta sikitumii kabisa
 
Hivi mnaomponda jamaa kama hio raba ni fake eti sababu ya bei unahisi upo salama?

kwa ufupi tuu hata haya madude mnayonunua k.koo kwa 75,000-150,000 k.koo sio OG, hii ni Synthetic leather,
Kwahio kama ulikua unadhani ni OG sababu eti unauziwa 150k, imekula kwako,
Kiatu kama hiki Ukipata pure leather au full grain leather bila ya 300k kwenda juu sahau, na kwa hapa bongo Angalau Woolworths waweza ukabahatisha huku kwingine utapata haya[emoji116]mazuri kwa sura ila yanaongezeka Size kadiri unavyoyavaa

View attachment 1764614

View attachment 1764583

View attachment 1764585


Kinyume na hapo rudi kwenye
mtumba[emoji116]


View attachment 1764615View attachment 1764616View attachment 1764622
Duka lako lipo wap mkuu tuje kukuungisha
 
Jamaa anasimamia anachokiamini safi sana mwanaume ndio unatakiwa kua hvyo[emoji23][emoji23]

We unampa moyo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ila nina amini kwa hizi coment anatamani hata akitupe
 
Hizo raba ni nzuri maalim kikubwa matunzo tu, wanaosema feki kutoka china hali ya kua asilimia 80 ya Watz tunatumia vitu feki kutoka china,
Jamii forum ni ulimwengu wa matajiri wanaotumia vitu kutoka UK, GERMANY, FRANCE na USA,

Ukija kwenye uhalisia sasa,, vimechoka vimefubaa vingine hadi vyakimbia kuonana kwa aibu ya kufake maisha humu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂🤣🤣
 
Unavaa kitu ili kidumu then?
Sasa hiyo Kazi unamfanyia nani ikiwa kiatu kimoja unavaa mwaka.

Spend your money bro LIFE IS SO SHORT.

Nunua nguo ya event ukitoka gawa au tupa..
Nunua jinsi vaa mara kadhaa tupa au gawa.

Hebu tumia hizo hela zikuzoee.

Zina banki zinasubiri shahaw* ili zizae?

Na kama tungekua tunavaa vitu miaka SASA MITUMBA INATOKA WAPI?

Kuna mtu huku alinunua kiatu mwezi 11 akavaa kwenye graduation yake, yaani mwamba mpaka hajanunua kimpya kisa ni original.

Sasa najiulizaga kama kuvaa bahili hivi HIZI HELA ANAMTAFUTIA NANI?

#YNWA
Huwezi nishawishi kuwa mtu anayebadili matambala frequently ana hela kuliko mtu anayevaa vitu original kwa muda mrefu. Mtu anunue Noah akae nayo miaka mitatu kisha aipeleke scrapping na mwingine anunue Discovery 4 ili akae nayo miaka tisa then uje kunambia aliyenunua Noah tatu ndani ya miaka tisa ana hela kisa hataki kukaa na kitu muda mrefu. Sikubaliani na hilo.

Unajua mtu akinunua saa yoyote ya Patek Philipe anakaa nayo miaka mingi. Utasema anafanya ujinga bora angenunua hivi visaa vya milioni 2 ili abadili kila mwaka.

Sifa kubwa kabisa ya matajiri ni kuwa na collection ya vitu kama magari, viatu, suti, etc. Hukutani na collection ya Noah na Probox kwenye home garage, raba za elfu tano kabatini au suti za laki moja.
 
Mkuu wanaosema sio Og achana nao, wanaosema eti OG utakaa nayo muda mrefu nao wapuuze tu, kwani unataka ukae na viatu muda mrefu hadi ufanane navyo? Halafu kama fake ni elf 15 na og ni elf 60, na point ni og kukaa muda mrefu, basi nunua fake vaaaa kikiisha kanunue fake tena vaaaaa, hivyo hivyo mpaka ifike hiyo 60[emoji134][emoji3] wasikuchoshe mkuu
 
Back
Top Bottom