Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Unavaa kitu ili kidumu then?Ni umaskini mkubwa sana kununua vitu ili uishi navyo muda mfupi kwa vile vitaharibika mapema.
Ni tabia za watu maskini kununua counterfeit, knockoffs, fake products zenye bei nafuu na ubora hafifu huku wakijisifia wamebana matumizi.
Ni umaskini vilevile kupenda kuwa na vitu vipya ila feki. Yani mtu kuhesabu idadi ya pair za aina ileile ulizonunua kwa mwaka kisa zilikuwa feki hazidumu ndio umaskini wenyewe. Badala yake ungejivunia kitu halisi.
Nenda kwa wenye hela unakuta ana collection ya viatu kibao quality vina miaka hata minne anavaa hata 6× per year. Kiatu nakinunua 30k nakitunzaje miaka
Sasa hiyo Kazi unamfanyia nani ikiwa kiatu kimoja unavaa mwaka.
Spend your money bro LIFE IS SO SHORT.
Nunua nguo ya event ukitoka gawa au tupa..
Nunua jinsi vaa mara kadhaa tupa au gawa.
Hebu tumia hizo hela zikuzoee.
Zina banki zinasubiri shahaw* ili zizae?
Na kama tungekua tunavaa vitu miaka SASA MITUMBA INATOKA WAPI?
Kuna mtu huku alinunua kiatu mwezi 11 akavaa kwenye graduation yake, yaani mwamba mpaka hajanunua kimpya kisa ni original.
Sasa najiulizaga kama kuvaa bahili hivi HIZI HELA ANAMTAFUTIA NANI?
#YNWA