Nairobi ndio halisia kama New York,Guangzhou na London global business centers sababu ndio makao makuu ya kampuni nyingi za dunia Africa .Hii Kariakoo yenu ni kama Bujumbura tu in the grand scheme of business centers of importance in Africa.Kariakoo is a Guangzhou of Africa.
budaHii Kariakor nimeikubali huwezi fikiri iko ile Dar tunasifiwa kila siku, hapa najua rasha rasha tu kidogo matope kila mahali
View attachment 1184722View attachment 1184723View attachment 1184724
aa wapi? mara c.b.d mara residential area,, sasa which one is which?Sio Afrika Mashariki. Nenda pale National Defence College maeneo ya Kunduchi Mtongani, waulize wanachuo hasa toka nje ya Tanzania, kama ukanda wa East, Central & South Afrika kama kuna CBD (Central Business District) inayoizidi Kariakoo!?
Bazazi
Pole Sanaaa wapi? mara c.b.d mara residential area,, sasa which one is which?
very disorganized place. unapata watu sijui ni wendawazimu mita chache kando ya barabara wanang'ang'ana na kupika vitu visivyoeleweka na cha ajabu, hawakosi wateja
Hii Kariakor nimeikubali huwezi fikiri iko ile Dar tunasifiwa kila siku, hapa najua rasha rasha tu kidogo matope kila mahali
View attachment 1184722View attachment 1184723View attachment 1184724
Kariakoo gani iko karibu na bahari...umefeli mjomba katika hizo picha hakuna hata moja ya kariakoo
Hapo niwapi Kaka, Hebu nirekebishe tafadhali.Kariakoo gani iko karibu na bahari...umefeli mjomba katika hizo picha hakuna hata moja ya kariakoo
haina ngori. usikasirike.Pole Sana
Bazazi
Unateseka nn na vitu usivyoweza kubadili kijana? Kariakoo Ni kubwa na imejaa nyumbaHapo niwapi Kaka, Hebu nirekebishe tafadhali.
Wr jamaa pohoyo kweli watu wanazungumzia CBD wewe unaleta Mall???Tatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.
Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa
Kwanza kabisa hizo picha ni za zamani sana...hapo ni feri(soko la samaki),posta karibu na kivuko cha kwenda kigamboniHapo niwapi Kaka, Hebu nirekebishe tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie watupee barabara Kama hii ya Kisumu huko dar tuhame hii forum[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]Hii Kariakor nimeikubali huwezi fikiri iko ile Dar tunasifiwa kila siku, hapa najua rasha rasha tu kidogo matope kila mahali
View attachment 1184722View attachment 1184723View attachment 1184724
Idadi ya magorofa yaliyopo kkoo peke yake yanazidi idadi ya magorofa yote Nairobi na hizo mnazoita CBD mpyaKariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Muulize MK254 kama hiyo picha siyo kkoo maana ana dai ameishi sana dar es salaam ,sasa wewe unabisha kwa sababu umeiona iko na majengo mengi ,hapo tukikutupa katikati uwezi kutoka utakuwa unazunguka usijue wapi unaendaHii picha ni kuhadaa watu nyie.Kariakoo huko Dar ya kweli ni ile wachuuzi wengi zaidi wanauza barabarani ,msongamano na uchafu umejaa na vyumba vingine ni mabati zimechakaa kweli kweli.Hii picha hapa juu watanzania wengi hawawezi kwenda pale they can't afford that side of Kariakoo.
Tatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.
Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa
Zinazungumziwa nyumba za bati na nyasi au business centre?Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Kkoo aipo baharini ni mbali sana na bahari zaidi ya km4 hiviau km6 kufika bahariniHapo niwapi Kaka, Hebu nirekebishe tafadhali.