Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Kariakoo is a Guangzhou of Africa.
Nairobi ndio halisia kama New York,Guangzhou na London global business centers sababu ndio makao makuu ya kampuni nyingi za dunia Africa .Hii Kariakoo yenu ni kama Bujumbura tu in the grand scheme of business centers of importance in Africa.
 
Hii Kariakor nimeikubali huwezi fikiri iko ile Dar tunasifiwa kila siku, hapa najua rasha rasha tu kidogo matope kila mahali

View attachment 1184722View attachment 1184723View attachment 1184724
buda
Screenshot_20190818-201510.jpeg
 
Sio Afrika Mashariki. Nenda pale National Defence College maeneo ya Kunduchi Mtongani, waulize wanachuo hasa toka nje ya Tanzania, kama ukanda wa East, Central & South Afrika kama kuna CBD (Central Business District) inayoizidi Kariakoo!?

Bazazi
aa wapi? mara c.b.d mara residential area,, sasa which one is which?
very disorganized place. unapata watu sijui ni wendawazimu mita chache kando ya barabara wanang'ang'ana na kupika vitu visivyoeleweka na cha ajabu, hawakosi wateja
 
aa wapi? mara c.b.d mara residential area,, sasa which one is which?
very disorganized place. unapata watu sijui ni wendawazimu mita chache kando ya barabara wanang'ang'ana na kupika vitu visivyoeleweka na cha ajabu, hawakosi wateja
Pole Sana

Bazazi
 
Tatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.

Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa

23-two-rivers-mall-nairobi-kenya-akinyi-adongo.jpg


0fgjhs50pbr1813m.jpg



0fgjhs33r7v9g66hm.jpg





0fgjhs4260bn2fnbk.jpg




0fgjhs759jf3qerkm.jpg



0fgjhs2la2l8gki3ag.jpg



0fgjhs1ik2fuq48vko.jpg



0fgjhs3b0jcikm0s0g.jpg



0fgjhsbp8o66eicae.jpg
Wr jamaa pohoyo kweli watu wanazungumzia CBD wewe unaleta Mall???
Kariakoo ni sehemu ya biashara na imechanagmka kuliko sehemu yoyote E. A and Central Africa
 
Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Idadi ya magorofa yaliyopo kkoo peke yake yanazidi idadi ya magorofa yote Nairobi na hizo mnazoita CBD mpya
 
View attachment 1184843


1. Mwanzo kabisa kule panaitwa Gerezani hapo kuna karakana zinatengeneza vitu achaaaa, Kuanzia dude la kupikia vitumbua hadi PIMP my ride! Hapo hapo karibu Building and construction materials.

2. Ukivuka Uhuru street pia kuna construction materials kiasi, ikafuata nguo na Viatu hasa mtaa wa Congo na Mtaa wa Narung’ombe (hapa huna hata pa kukanyaga ( Wanapaita China Town sasa) Hapa ndio soko la viatu, Ndio penyewe.

3.Jengo lenyewe la kariakoo kama kawa, una pata kila kitu hadi plau pezi [emoji23]. Pesticides etc

4 . Shuka chini kidogo mtaa wa mafia unakutana na Pikipiki, Na spare parts.

5 Chini kidogo unapata pia Kila spare parts ya gari yoyote hadi wana Toyota Tanzania ( Genuine Parts)

6. Hapo tunazungumzia Upande wa Kushoto wa Msimbazi street. Kulia kuna maeneo ya Agrey, pale unapata simu yoyote unayoijua wewe na pia unatengenezewa simu yako hata kama imeharibika vipi, ukishika chini upande huo huo wa kulia kuna soko la vitambaa. Hatari.

IMG_1900.JPG




Hapo kariakoo usiku ndio utajua Kariakoo sio ya mchezo, kila mtaa unazibwa containers zinashusha mizigo.

Zimbwabean, Zambian, Namibian, Botswana , Congo , Shelisheli, Comoro wanadaka mzigo hapo.

Ukitaka kujua nani anakuja sana kuchukua mizigo Hapo kariakoo, Tembelea Hotel zote za karikaoo.

Hadi sasa kuna vijana kazi yao ni kupack mizigo, wamespecialize Wanajua jinsi ya kupanga bwana. Corona vya wazambia na wazimbabwe lazima vishindiliwe vizuri.

Yaani ni Guangzhou ya bongo Maana Kule hadi wanaigeria wamespecialize Kupack mizigo. [emoji23]

Sijaongelea kule lumumba, Duh, Car accessories , Music mnene wa gari yako , Tairi etc ndio pale . Inapark Modern Coast na Tahmeed.

Kulingana na mizigo inayobebwa hapo, kama hadi godoro mtu kapakia, Labda awe anashukia Tanga, Hata kama anaenda nalo mombasa, Basi litakua bora sana , Au lipo cheap kuliko huko? Au kapewa bure zawadi, yote yanaweza tokea [emoji23]

Kariakoo noma bwana.

Kuna jamaa alipost Malls hapo juu.


Mkuki House, Aura Mall, City mall zote zipo in a walking distance .
Nadhani hakuelewa maana ya mkuu Hapo juu.



IMG_1896.JPG



IMG_1897.JPG



IMG_1898.JPG
 
Hii picha ni kuhadaa watu nyie.Kariakoo huko Dar ya kweli ni ile wachuuzi wengi zaidi wanauza barabarani ,msongamano na uchafu umejaa na vyumba vingine ni mabati zimechakaa kweli kweli.Hii picha hapa juu watanzania wengi hawawezi kwenda pale they can't afford that side of Kariakoo.
Muulize MK254 kama hiyo picha siyo kkoo maana ana dai ameishi sana dar es salaam ,sasa wewe unabisha kwa sababu umeiona iko na majengo mengi ,hapo tukikutupa katikati uwezi kutoka utakuwa unazunguka usijue wapi unaenda
 
Nilitegemea lazima uje na matambo kujibu thread!
Tatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.

Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa

23-two-rivers-mall-nairobi-kenya-akinyi-adongo.jpg


0fgjhs50pbr1813m.jpg



0fgjhs33r7v9g66hm.jpg





0fgjhs4260bn2fnbk.jpg




0fgjhs759jf3qerkm.jpg



0fgjhs2la2l8gki3ag.jpg



0fgjhs1ik2fuq48vko.jpg



0fgjhs3b0jcikm0s0g.jpg



0fgjhsbp8o66eicae.jpg
 
Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
Zinazungumziwa nyumba za bati na nyasi au business centre?
Kwani Nairobi haina matakataka kuliko afrika nzima?
 
Back
Top Bottom