Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1733496265568.png


Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watanzania wenye asili za kihindi, kiarabu, kisomali, kichina, n.k.. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo

Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikio ni asilimia 20

wanaobaki asilimia 10 ni watu wote unaowajua Tz kuanzia wamasai, wasambaa, wasukuma, wanyakyusa, wafipa, wanyaturu, wangoni, wabena, n.k.
 
Kariakoo ilivyo kwa sasa Demographics zimebadilika sana,

Ukiondoa wakinga, wachaga na wafanyabiashara wenye asili za nje, panabaki wachache sana

Katika wachache wataobaki kuna wapemba na waha,

Ukiondoa wote hao Kariakoo inaweza kubaki nyeupe,
Hujafanya research vizuri mzee, kuna watu kibao pale wanatokea Tanga. Kuna wale wanaosalimia Kukile, kuna wamyamwez na wasukuma wa kutosha pale. Inshort umeongea kwa kutumia common sense tu
 
Raia wetu wote tuwaenzi mfano Captain Arif Jinnah , rubani aliyerusha ndege ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 3. Rubani Atif Jinnah alisomeshwa na Mamlaka ya Usalama wa Anga katika chuo cha Afrika ya Mashariki nchini Soroti Uganda kisha kujiunga Air Tanzania mwaka 1987 na baada kupeleka kitengo cha ndege za serikali za viongozi wa Tanzania ambapo alikuwa rubani wa rais B.W Mkapa kwa miaka 3 ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=XgsJvPp-Ock
 
Kwanini wao waendelee kuishi kama sio watanzania,

hawashiriki misiba labda awe kiongozi mkubwa,

hawataki tuoleane.
Kwan lazima kuoleana nao mzee mbona unafosi tafuta hela nenda india au uarabuni ujipatie mke siku hizi dunia kijiji.
 
Kwanini wao waendelee kuishi kama sio watanzania,

hawashiriki misiba labda awe kiongozi mkubwa,

Una uhakika na hilo kuwa wanaishi kama siyo waTanzania?

Tuwape kongole clouds media group, millard ayo TV kwa kuonesha jamii mchanganyiko ya kiTanzania.

Mimi mtanzania nikisali katika hekalu na kuchoma maiti wakati wa kuzika nikikualika ni lazima uje ?

Utanzania ni mchanganyiko wa jamii zaidi ya 120 ambazo zina desturi, mila utamaduni, imani tofauti lakini utaifa wao ni watanzania.


View: https://m.youtube.com/watch?v=JaLiH3UjXWw

HARAKATI ZA CHIFU MERERE KATIKA KUJENGA HIMAYA YAKE YENYE NGUVU.

Harakati za Chifu Merere wa kabila la Wasangu za kujijengea himaya yenye nguvu -kabila hili la wasangu linapatikana mkoa wa Mbeya halmashauri ya wilaya ya Mbarali.-kabila la wasangu wanazungumza lugha injulikanayo kama Kisangu..-kabla ya kuweka ngome yao ya kudumu eneo lijulikana kama Utengule Usangu Wasangu walizunguka maeneo mengi ikiwemo eneo moja linalopatikana Mji mdogo wa Mbalizi uliopo Halmashauri ya Mbeya liitwalo Utengule Usongwe walifikaje fikaje Wasangu eneo hilo ?ambatana nami FURAHA SIMCHIMBA katika makala hii ujue hilo na mengine mengi karibu...

View: https://m.youtube.com/watch?v=LyU-3lvgunU
 
Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watu wenye asili ya nje. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo

Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikia ni asilimia 20

wanaobaki asilimia 10 ni watu wote unaowajua Tz kuanzia wamasai, wasukuma, wanyakyusa, wazaramo, n.k.
Kariakoo ni ya watanzania wote! Saizi biashara kila jamii inafanya wazidiana ukubwa tu wa biashara!
 
Back
Top Bottom