Wapo jamii na makabila mengi sana yanayofanya biashara hapo, biashara zote hizo ni za uchuuzi. Kuna watu wa kutoka pwani kama Tanga, wenye asili ya Zanzibar wanafanya biashara ya Kila aina , Yani Kila aina. Sema ni ngumu kuwafahamu au kujimwambafai kikanda au kikabila, wana connection za maana si za China tu Hadi arabuni kote huko.