Hujafanya research vizuri mzee, kuna watu kibao pale wanatokea Tanga. Kuna wale wanaosalimia Kukile, kuna wamyamwez na wasukuma wa kutosha pale. Inshort umeongea kwa kutumia common sense tuKariakoo ilivyo kwa sasa Demographics zimebadilika sana,
Ukiondoa wakinga, wachaga na wafanyabiashara wenye asili za nje, panabaki wachache sana
Katika wachache wataobaki kuna wapemba na waha,
Ukiondoa wote hao Kariakoo inaweza kubaki nyeupe,
Hajui kitu huyuWe unachekesha wakinga wengi ni wauza nguo tu fatilia maduka mengi ya electronics na accessories wengi wahaya na vifaa vya ujenzi
Kariakoo mpaka wamasai wapo lakini ukiwakusanya bado ni kundi dogo kwenye uwakilishiHujafanya research vizuri mzee, kuna watu kibao pale wanatokea Tanga. Kuna wale wanaosalimia Kukile, kuna wamyamwez na wasukuma wa kutosha pale. Inshort umeongea kwa kutumia common sense tu
wafanyabiashara wenye asili za nje
Wahaya kwa sifa, hamridhiki msipo tajwa yan ,We unachekesha wakinga wengi ni wauza nguo tu fatilia maduka mengi ya electronics na accessories wengi wahaya na vifaa vya ujenzi
Hujui hata unacho ongea ubaguzi wa rangi umeongelewa wapi?Hakuna waTanzania wenye asili ya nje, tuache ubaguzi wa rangi.
Kwa lugha nyepesi watanzania wenye asili ya India, China, Uarabuni, n.kHakuna waTanzania wenye asili ya nje, tuache ubaguzi wa rangi.
Hujui hata unacho ongea ubaguzi wa rangi umeongelewa wapi?
Mm nazungunzia quantity mzee siongelei quality. Watu wa Tanga na wasukuma wanatoa rate kubwa tu tembea vizur ujioneeKariakoo mpaka wamasai wapo lakini ukiwakusanya bado ni kundi dogo kwenye uwakilishi
wapo wapoVipi kuhusu Waha akina Sanda??
Kwan lazima kuoleana nao mzee mbona unafosi tafuta hela nenda india au uarabuni ujipatie mke siku hizi dunia kijiji.Kwanini wao waendelee kuishi kama sio watanzania,
hawashiriki misiba labda awe kiongozi mkubwa,
hawataki tuoleane.
Kwanini wao waendelee kuishi kama sio watanzania,
hawashiriki misiba labda awe kiongozi mkubwa,
Wahaya mpambane na vitabu, biashara kitu kingineWe unachekesha wakinga wengi ni wauza nguo tu fatilia maduka mengi ya electronics na accessories wengi wahaya na vifaa vya ujenzi
Kariakoo ni ya watanzania wote! Saizi biashara kila jamii inafanya wazidiana ukubwa tu wa biashara!Ukitaka kupunguza tatizo la msongamano Kariakoo ondoa wakinga, wachaga na watu wenye asili ya nje. hawa ni almost asilimia 70 ya biashara za Kariakoo
Wanaobaki kwa mbali labda ni waha na wapemba kwa makadirikia ni asilimia 20
wanaobaki asilimia 10 ni watu wote unaowajua Tz kuanzia wamasai, wasukuma, wanyakyusa, wazaramo, n.k.