Karibu baby sis

ili hatimae maskio ya rohoni mwako yawe tayari kuskia sauti ya wito wa Mungu katika maisha ya sasa, baadae na hata milele...
Nakuombea maisha yafuraha, amani na baraka sana katika wokovu..
Unajua madhabahu nyingi za Giza zinatumia zile mbinu za kibiashara za kuiba brand ya mwenzie na kuibalisha kidogo mfano tommy anakuwa tonmy ila anaweka rangi zilezile usipokuwa makini mpenzi wa Tommy atanunua Hilo fafa.....Sasa na madhabahu nyingi siku hizi utasikia Kwa jina la Yesooo huyo Yeso ndio nani?Hii pigo ndio unayoniletea hapa eti nimkiri "mokozi"huyo mokozi ni nani??sisi tulioukulia wokovu tulioyatamani maziwa ya akili yasiyoghoshiwa na tukayanywa,tumejaaliwa macho ya rohoni kujua real na fake... aisee "MOKOZI" ni duplicate
 
Darsa ni kile unachofundishwa.
Darasa ni kile chumba cha kufundishia/wa.
Kudurusu ni kujifundisha.
Ni Kiarabu au?maana kiswahili nafahamu hivi.
Somo ni kile unachofundishwa,...Sasa hiyo darsa wewe umeitoa wapi?
Usichanganye lugha tafadhali
 
Mungu akubariki sana Joannah mama yangu mpendwa sana....

na ndio maana mara zote nakuombea ujazo timilifu wa Roho Mtakatifu nafsini mwako, ili iwe rahisi kuskia vizuri sauti ya wito wa Mungu katika maisha na kazi zako njema na halali na kutofautisha na wito wa muovu na muharibifu shetani....

Bila ya hivyo tunaweza jikuta tunakufuru, tunabeza na kushupaza shingo kubisha na kugomea wito Mtakatifu wa Mungu....

Ni vizuri kutojihesabia haki na kuhukumu wengine..
Tuwaombee baraka na neema za Mungu waongoke..
Mungu wa mbinguni atusamehe sana sote..
 
Unajifanya mtume Paulo waraka mrefu au sio?sio Kwa Mokozi lakn
 
Unajifanya mtume Paulo waraka mrefu au sio?sio Kwa Mokozi lakn
Actually mimi ni Apostle,
Lakini sistahili chochote kabisa, kwako na kwa wengine, ni mnyonge sana

Lakini, pale ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu zaidi..
Ujasiri wangu na nguvu zangu ni kutoka kwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu na yako katika Yesu Kristo alie hai...
Zaburi: 23 yanipa nguvu zaidi ya kusonga mbele licha ya kuhukumiwa kwa yote
 
Ahsante sis Joannah πŸ™
Nakupenda na unalijua hilo, huyo black flower sio mimi. Ningefungua id mpya ningekwambia, huyo itakuwa tulifanana tone za uandishi..!!
Ss hivi nitakuwa binti mwema I promise 🀣🀣
Atakenitukana tyuu fasta namuita Active amalizane naye!!
Nakupenda sana 😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…