Karibu baby sis

Nimefurahi,karibu sana na utulie Sasa acha mdomo wako wa kizaramo🀣🀣🀣🀣
 
Ahsante kwa ushauri dada nitawaepuka mwaya πŸ™
Nimeokoka ss hivi
 
Faidika na darsa la FaizaFoxy:

Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).

Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
Miss JF una mdomo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bibi hongera kwa kutwaa taji
 
Bibi utamuweza wewe?! πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…