Karibu baby sis

Baba mtumishi bado unanipenda ww, umesikia Lamomy mbio umekuja kutia nongwa zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mwanzo sikuelewa, baadae nikawa makini kidogo, nikaanza kupata ufahamu na hatimae Roho mtakatifu akanambia usiondoke bana humu humu na nikafanya hivyo...

Namshukuru Mungu sana, kwakweli bado nakupenda wewe na familia yako naiheshimu sana...

Heri na Baraka za Mwaka mpya kwanza πŸ˜€
 
Dah. Nisiseme wakasikia. Mpambe ulikosekana ikawa huzuniπŸ˜‚. Karibu. Kantri uko naye karibu hapo?πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Mpambe nisharudi na safari hii mama mchungaji lazima umpate haiwezekani akusumbue toka mwaka jana, tumeingia mpya bado anasumbua 🀣🀣🀣

Tayana-wog shosti huyu mtu mgodi umetema usije kusema sijakwambia
Wizzy yupo kajaa anawazoom πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amina πŸ™
Baraka ziwe kwako pia na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…