Karibu baby sis

Karibu baby sis

Baba mtumishi bado unanipenda ww, umesikia Lamomy mbio umekuja kutia nongwa zako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
mwanzo sikuelewa, baadae nikawa makini kidogo, nikaanza kupata ufahamu na hatimae Roho mtakatifu akanambia usiondoke bana humu humu na nikafanya hivyo...

Namshukuru Mungu sana, kwakweli bado nakupenda wewe na familia yako naiheshimu sana...

Heri na Baraka za Mwaka mpya kwanza ๐Ÿ˜€
 
Dah. Nisiseme wakasikia. Mpambe ulikosekana ikawa huzuni๐Ÿ˜‚. Karibu. Kantri uko naye karibu hapo?๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
Mpambe nisharudi na safari hii mama mchungaji lazima umpate haiwezekani akusumbue toka mwaka jana, tumeingia mpya bado anasumbua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tayana-wog shosti huyu mtu mgodi umetema usije kusema sijakwambia
Wizzy yupo kajaa anawazoom ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mwanzo sikuelewa, baadae nikawa makini kidogo, nikaanza kupata ufahamu na hatimae Roho mtakatifu akanambia usiondoke bana humu humu na nikafanya hivyo...

Namshukuru Mungu sana, kwakweli bado nakupenda wewe na familia yako naiheshimu sana...

Heri na Baraka za Mwaka mpya kwanza ๐Ÿ˜€
Amina ๐Ÿ™
Baraka ziwe kwako pia na familia yako.
 
Back
Top Bottom