FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Darsa ni kile unachofundishwa.Darsa ndio Nini?
Darasa ni kile chumba cha kufundishia/wa.
Kudurusu ni kujifundisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darsa ni kile unachofundishwa.Darsa ndio Nini?
kuongeza ufahamu au uelewa wa jambo au suala fulani ambalo hapa awali hukua unalijua au kulielewa ni matokeo ya kupata darasa au shuleDarsa ni kile unachofundishwa.
Darasa ni kile chumba cha kufundishia/wa.
Kudurusu ni kujifundisha.
Unajua madhabahu nyingi za Giza zinatumia zile mbinu za kibiashara za kuiba brand ya mwenzie na kuibalisha kidogo mfano tommy anakuwa tonmy ila anaweka rangi zilezile usipokuwa makini mpenzi wa Tommy atanunua Hilo fafa.....Sasa na madhabahu nyingi siku hizi utasikia Kwa jina la Yesooo huyo Yeso ndio nani?Hii pigo ndio unayoniletea hapa eti nimkiri "mokozi"huyo mokozi ni nani??sisi tulioukulia wokovu tulioyatamani maziwa ya akili yasiyoghoshiwa na tukayanywa,tumejaaliwa macho ya rohoni kujua real na fake... aisee "MOKOZI" ni duplicateili hatimae maskio ya rohoni mwako yawe tayari kuskia sauti ya wito wa Mungu katika maisha ya sasa, baadae na hata milele...
Nakuombea maisha yafuraha, amani na baraka sana katika wokovu..
Ni Kiarabu au?maana kiswahili nafahamu hivi.Darsa ni kile unachofundishwa.
Darasa ni kile chumba cha kufundishia/wa.
Kudurusu ni kujifundisha.
Mungu akubariki sana Joannah mama yangu mpendwa sana....Unajua madhabahu nyingi za Giza zinatumia zile mbinu za kibiashara za kuiba brand ya mwenzie na kuibalisha kidogo mfano tommy anakuwa tonmy ila anaweka rangi zilezile usipokuwa makini mpenzi wa Tommy atanunua Hilo fafa.....Sasa na madhabahu nyingi siku hizi utasikia Kwa jina la Yesooo huyo Yeso ndio nani?Hii pigo ndio unayoniletea hapa eti nimkiri "mokozi"huyo mokozi ni nani??sisi tulioukulia wokovu tulioyatamani maziwa ya akili yasiyoghoshiwa na tukayanywa,tumejaaliwa macho ya rohoni kujua real na fake... aisee "MOKOZI" ni duplicate
Kiswahili chetu cha pwani ni fasaha, hilo tunalitumia sana, enzi na enzi.Ni Kiarabu au?maana kiswahili nafahamu hivi.
Somo ni kile unachofundishwa,...Sasa hiyo darsa wewe umeitoa wapi?
Usichanganye lugha tafadhali
Unajifanya mtume Paulo waraka mrefu au sio?sio Kwa Mokozi laknMungu akubariki sana Joannah mama yangu mpendwa sana....
na ndio maana mara zote nakuombea ujazo timilifu wa Roho Mtakatifu nafsini mwako, ili iwe rahisi kuskia vizuri sauti ya wito wa Mungu katika maisha na kazi zako njema na halali na kutofautisha na wito wa muovu na muharibifu shetani....
Bila ya hivyo tunaweza jikuta tunakufuru, tunabeza na kushupaza shingo kubisha na kugomea wito Mtakatifu wa Mungu....
Ni vizuri kutojihesabia haki na kuhukumu wengine..
Tuwaombee baraka na neema za Mungu waongoke..
Mungu wa mbinguni atusamehe sana sote..
Actually mimi ni Apostle,Unajifanya mtume Paulo waraka mrefu au sio?sio Kwa Mokozi lakn
Eenh aachane nao tu tena atoke kabisaYaani Bora umemfunda,maana majibu yake anayajuaga mwenyewe Mtu akimchokoza anampa hapo hapo bila kumung'unya maneno...mi niliona dalili za kumtukana Mtu naachana nae chap!
Sasa km sijui nikubali tu ? Wewe mwenyewe sikumbuki km nakufahamuUmekana vikali!
Uchochezi upi sasa😁😁😁Acha uchochezi
Acha mikwara mbuzi mkuu kuwa na aman..utapiga mtu uuue nishindwe kukuwekea dhamananitapiga jitu nionekane mkorofi kumbe wala sina tabia hizo😕😕
Ahsante sis Joannah 🙏Jamaniiiiii my baby Sis is back!
Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.
Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili.
Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe, nikamcheck fastaaa PM, I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee, yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣.
Welcome back kipenzi, am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane.
Karibu Tena beautiful, ila punguza wenge, usipigwe tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅. Am happy umerudi dogoake.😘
🤣🤣🤣🤣 unasubiri nini sasa kuoa?!Mwambi kabisaaa bado sijaoa
Hahahahaha kukutongoza si mnasemaga ni sunnah ? Tatizo ukimkubalia ndio itakucost 😅😅Unamchochea anitongoze.
😂😂😂 UmeanzaHuyo ni mke halali wa Countrywide
🤣🤣🤣🤣 Mbona mwaka mnataka niuanze vibaya km Dullah Makabila why?!!Countrywide anawake wawili naowajua achilia mbali ile mishangazi yake