Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha. Mie tena nimekua kijana ? Halafu lawama gani tena , wkt sijasema wala kufanya bayaaa Rafiki ?🤣🤣🤣🤣Kijana wanitafuta lawama eeh?
Wewe ni mke wa Lucas mwashambwa?Huyo ni mke halali wa Countrywide
Hahahahaha...mie anko .hahahahahahaUnanifurahishaga ukipiga ha haaaa haaaaa huna baya....kwani na wewe mjomba?mi humu mjomba najua ni ERoni
Sijawahi kuwa mdudu mimi....mke wa Lucas mwashambwa lazima awe mdudu chawaWewe ni mke wa Lucas mwashambwa?
Ewaa, mie uncle bwana...🤣🤣🤣🤣Dahhh umenikumbusha rafiki yangu akiona Mtu mshamba anauliza huyo mjomba mjomba umetoa wapi🤣🤣nisamehe Legend wewe ni auncle
Kabisa kabisa...MkuuEwaa, mie uncle bwana...
Sifa za wajomba na uncles zinatofautiana sana🤣
Hahahahaha🤣🤣🤣🤣Eti sija number 1 ya mjomba ni uchawi,wakati sifa number Moja ya anko ni ukwasi.
Wewe sasa unajua legend🤪🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti sija number 1 ya mjomba ni uchawi,wakati sifa number Moja ya anko ni ukwasi.
🥰🥰🥰Sina shaka na wewe kidogo changu Cha uchungu...
Na mi najiulizaga hilo swali 😂😂😂Yes! Lamomy ni Cute wife,ni mke wa Country wizzo,ila aliyefungua Uzi ni Mimi dada yake,Kwa kuwa nimefurahi amerudi....halafu mbona wewe Huwa hupigwi ban,mbona na wewe mdomo wako umechachuka sana😄😄😄
Akupongeze nini mau?! Kwani tyr mahari ishatolewa.?!Acha janja janja nataka uzi wangu wakunipongeza
Jirani tunaelekea Eden 😂😂😂