Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Kuna mzigo niliagiza wa Tsh.1.7m nimempa cash laki 7 na elfu hamsini kwa makubaliano mzigo ukifika nimmalizie laki 9 na elfu hamsini
pole mkuu, kwanza naomba kuuliza unampaje mtu hela wakati mzigo wako haujafika ( mzigo si ulitakiwa ulipie mwenyewe huko alibaba n.k) na je ulivyompa pesa alikupa risiti ya TRA, na pesa ulimpia kwenye hiyo ofisi alokwambia ni yao au ulimpa juu kwa juu. yote kwa yote pole sana
 
Keep in trust!,
Tozonia ni Afadhali wakati unaahidi kitu top up walau siku 7,ili ufanye kazi zenye guarantee zisizo na delayment.
ni tapeli hamna cha nini wala nini katumia jina la fago express kupiga watu na nilivyowasanua watu huyu mtu ni tapeli hayupo fago express,akajifanya kahamia dynamic air cargo na ofisi zipo sijui wapi haya shahidi huyo hapo juu 👆🏽kaenda kakuta hamna cha ofisi wala nini 😅 , mimi nilimshtukia first day tuu nilivyochati nae nikafanya utafiti wangu nikajiridhisha ni muongo ndo nikaja wasanua watu hapa lakini bado wanapigwa.
 
pole mkuu, kwanza naomba kuuliza unampaje mtu hela wakati mzigo wako haujafika ( mzigo si ulitakiwa ulipie mwenyewe huko alibaba n.k) na je ulivyompa pesa alikupa risiti ya TRA, na pesa ulimpia kwenye hiyo ofisi alokwambia ni yao au ulimpa juu kwa juu. yote kwa yote pole sana
Risiti nilipewa na Muhuli wa Fago ila atakuwa anashilikiana na Fago kwasababu mimi sijakutana nae njiani, nilifika ofisi Fago alikuwa amevaa sare zao na anakaa ofisi zao
 
Najipanga nijue naanzia wapi ili niende baado kunavitu naangalia
 
weee uliagiza mzigo nini, huyo ni muongo hawana ofisi wala nini, bora niliwashtukia mapema kabisa, kuna mwingine humu anajitangaza na kampuni yao ya flamingo express aisee wako poa kabisa mzigo wangu umefika ontime kabisa itakiamo
Huyo jamaa aliniambia pia wanafanya msaada wa kukuagizia
 
Poa atakae jua anapofanyia mishe anicheki kwa namba hii 0756462379 laki saba na elfu hamsini si pesa ndogo nitamtafuta tu uzuri na mim nafanyia mishe hukuhuku kariako, leo nimezunguka Posta kwenye hilo jengo la Diamond Plaza nimemkosa
 
Risiti nilipewa na Muhuli wa Fago ila atakuwa anashilikiana na Fago kwasababu mimi sijakutana nae njiani, nilifika ofisi Fago alikuwa amevaa sare zao na anakaa ofisi zao
sasa wewe nenda kakomae na hao fago kama ulikutana nae ofisini kwao na risiti yao unayo mbona huyo mtu atapatikana fasta, kwanini ulitoa pesa wakati mzigo haujafika?, ungeomba assist kidogo tuu mzigo uka order na kulipia mwenyewe
 
Poa atakae jua anapofanyia mishe anicheki kwa namba hii 0756462379 laki saba na elfu hamsini si pesa ndogo nitamtafuta tu uzuri na mim nafanyia mishe hukuhuku kariako, leo nimezunguka Posta kwenye hilo jengo la Diamond Plaza nimemkosa
kwa kweli sio pesa ndogo hata kidogo ukiagiza mzigo sio haba,komaa hadi umpate,pia jifunze kununua vitu wenyewe huko kwenye mitandao ya china ni simple tuu.
 
ni tapeli hamna cha nini wala nini katumia jina la fago express kupiga watu na nilivyowasanua watu huyu mtu ni tapeli hayupo fago express,akajifanya kahamia dynamic air cargo na ofisi zipo sijui wapi haya shahidi huyo hapo juu 👆🏽kaenda kakuta hamna cha ofisi wala nini 😅 , mimi nilimshtukia first day tuu nilivyochati nae nikafanya utafiti wangu nikajiridhisha ni muongo ndo nikaja wasanua watu hapa lakini bado wanapigwa.

👏👏👏almanusra niingie cha kike duh. Thank you!
 
naomba kujuzwa kwa hiyo ipo kampuni kwa jina la fago inayofanya kazi ambazo tapeli Tozonia alikuwa amezitangaza hapa.
 
kampuni ya fago ipo na haina utapeli wowote ila huyu tozonia kaitumia kutapelia watu na sio operation manager wa fago kama alivyotuambia hapa ( anaweza akawa anshirikiana na mfanyakazi wa fago kutapeli watu pasipo fago wenyewe kujua )kitu kingine ukimuomba adress ya china anakupa nyingine sio ya fago express umenipata mpaka hapo, mimi shida yangu ilikuwa ni kubadili kampuni ya shipping maana nilikuwa natumia bashley mzigo inachelewa sana ata miezi miwili ndo nikamcheki tozonia kumbe tapeli baada ya kumshtukia nikamcheki huyu itakiamo na kampuni yao ya flamingo nilivyojiridhisha basi nikatuma adress yao kwa mchina aisee mzigo umefika fasta afu wana bei poa sana.
 
Kwa hiyo kampuni ya flamingo ipo decent mkuu kiasi naweza kuagiza nao?
 
kampuni decent zipo nyingi tuu shida ni mzigo kuchelewa kufika,at least hao flamingo wapo fasta, cheki page yao insta upate mawasiliano yao
 
Huduma zenu mbovu sana, hamna adabu na hamjali wateja. Simu hampokei leo siku ya 5, mizigo yangu ina 26 days hlf unasema unaagiza kwa haraka. Mwambie Jackson akafanye shughuli nyingine hakuna mtu atakaekubali ujinga na utoto mnaofanya. Kama mnakosa mpaka hela ya kutoa mpaka mizigo for a week ni mteja gani ataekubali kufanya biashara na nyinyi.? Seriously mmenikwaza na siwezi kumshauri mtu afanye kazi na nyinyi. Janja Janja nyingi sana
Mkuu ulipata mzigo?
 
Mimi mpaka leo bado sijapata kitu, ila kuna mambo yalinibana hapa kati kuanzia J3 naanza kufatilia watanilipa pesa yangu
 
Back
Top Bottom