kampuni ya fago ipo na haina utapeli wowote ila huyu tozonia kaitumia kutapelia watu na sio operation manager wa fago kama alivyotuambia hapa ( anaweza akawa anshirikiana na mfanyakazi wa fago kutapeli watu pasipo fago wenyewe kujua )kitu kingine ukimuomba adress ya china anakupa nyingine sio ya fago express umenipata mpaka hapo, mimi shida yangu ilikuwa ni kubadili kampuni ya shipping maana nilikuwa natumia bashley mzigo inachelewa sana ata miezi miwili ndo nikamcheki tozonia kumbe tapeli baada ya kumshtukia nikamcheki huyu
itakiamo na kampuni yao ya flamingo nilivyojiridhisha basi nikatuma adress yao kwa mchina aisee mzigo umefika fasta afu wana bei poa sana.