ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Hatari sana hiki kizazi cha nyoka unaingia jukwaa la historia , kulalamikia habari za kaleHizi Habari za Field Marshal John Okello naona kama ni mambo yaliyopitwa na wakati. Hizo ni kama hadithi za 'Kibanga ampiga mkoloni,' 'Pwagu na Pwaguzi,'
Tunataka kusikia Habari mpya zenye kuendana na nyakati za Sasa, tuachane na hizi habari za enzi za kale ambazo hazina faida yoyote ile kwa nyakati za Sasa.
Tunataka kusikia Habari mpya za kisasa, zinazoendana na wakati wa Sasa.