Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mzee baba mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
 
Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
Jinsia yako pls tuanzie hapo kwanza.
 
😂😂😂 Mwamba anauguza mjamzito.
 
Mabinti wa siku wanajiolesha kabla ya kuozwa matokeo yake wanaishia kujuta
Tena huyo anabahati amedanganywa kwa mapenzi, wenzie wanadanganywa na kuliwa nyama

Akae kwa kutulia na kuli wake😎😎😎
Kuli ana mjengo mzuri tu kama au zaidi ya wangu.
Aliujenga kipindi akiwa na ajira benki
 
Yani amuache kisa jamaa kuli??au anajitolea/
Sasa akiumwa?akipata ajali ?au tatzo la afya c atamkimbia ndo mama hamuolew nyie.
Mkaoge maji ya mwamposa na sabuni hadi na water guard kama tabia ni pesa, hatuwaoi na mm nilitaka kuoa nitajifanya cna hata mia
 
Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
Sasa wewe yanakuhusu nini?.Bila shaka wewe Utakuwa mvulana wa Dar.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom