Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
Gharama za uongo ni kubwa
 
Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mzee baba mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
Mara nyingine kuanza hatua ya kwanza pamoja ni vizuri zaidi kuliko na kuweka masharti ambayo mwishowe yanakugharimu.

Nina imani jamaa alidanganya kwa kuwa binti alitaka mtu mwenye kazi.
 
Mimi naamini sio chai
Kama hujawahi kuona wala kusikia ndio utaita chai.
Kuna wanaume wapumbavu sana na hawajiamini hata kidogo.
Mtu anajimwambafy na vitu ambavyo sio uwezo wake ilimradi tu ampate mwanamke fulani ambae kwa akili yake anafikiri bila kumdanganya hawezi mpata wakati angeishi uhalisia wake angempata tu Mana muda mwingine binti wa watu hana hata shida na mali tatizo wanaume mnakariri sio wanawake wote wa hivyo.
Kuna mpuuzi naye alikosa mke kwasababu hizo hizo za kudanganya.
Mwanamke kuja kustuka kagoma na process zilikuwa zishaanza.
Njia ya mwongo ni fupi.
Uko sahihi, kuna mdada jirani yetu yalimkuta haya na alijisifu na kujiona matawi ya juu kwa kumpata mume anaefanya kazi bank. Tuliokuwa tunammendea alituona takataka. Kumbe jamaa alikuwa ni mfanya usafi tu. Mpaka sasa hakuna ndoa binti alikimbia baada ya kujua ukweli. Mpaka unajiuliza huyu aliolewa na kazi au mtu?
 
Maslay queen wanakutana na mashababi mchezo unaisha
 
Ukweli umweka mtu huru, kwani ukisema ukweli mi mpiga debe stend, Kama mandonga enzi zake, sahivi star tembele la hamu hata akichuja nyumba za wapangaji zitampa Ela ya dagaa, mkewe kavumilia sa hivi anakula matunda.
 
Kidume unakuwa mmbeya?.
Nyie kuna watu waongo aisee.

Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.

Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.

Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.

Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.

Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.

Dada anamuuliza mzee baba mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?

Tawajuza mwisho wa picha.

Binti mzuri kinoma
 
Hii haina tofauti na mwanamke akuambia anaweza kuzaa ilhali anajua alishawah toa na hatakaa apate.Ukiingia kwenye ndoa ndio unakuja kujua.Tujifunze kuwa wakweli
 
Back
Top Bottom