Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wewe ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje?umbea hauna posho
Jinsia yako pls tuanzie hapo kwanza.Nyie kuna watu waongo aisee.
Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua.
Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa.
Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha.
Binti muda mwingine ana hamu na kitu jamaa anazuga anafuata dukani anarudi na giza kisha kumwambia hiyo soda dukani imekwisha.
Hii ndoa naizoom tu , muda wowote italipuka.
Dada anamuuliza mbona huendi job, jamaa anamwambia nimeomba ruhusa nakuuguza wewe. Hivi mjamzito bongo anauguzwa?
Tawajuza mwisho wa picha.
Binti mzuri kinoma
😂😂😂 Mwamba anauguza mjamzito.Nyie kuna watu waongo aisee.

Kuli ana mjengo mzuri tu kama au zaidi ya wangu.Mabinti wa siku wanajiolesha kabla ya kuozwa matokeo yake wanaishia kujuta
Tena huyo anabahati amedanganywa kwa mapenzi, wenzie wanadanganywa na kuliwa nyama
Akae kwa kutulia na kuli wake😎😎😎
Kupenda pesa sio kosa....Wakati mwingine wadada wanapenda kudanganywa maana wanapenda pesa sana...
Kuli ana mjengo mzuri tu kama au zaidi ya wangu.
Aliujenga kipindi akiwa na ajira benki
Women loves how men lieWakati mwingine wadada wanapenda kudanganywa maana wanapenda pesa sana...
Sasa wewe yanakuhusu nini?.Bila shaka wewe Utakuwa mvulana wa Dar.Nyie kuna watu waongo aisee.