Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

Gharama za uongo ni kubwa
 
Mara nyingine kuanza hatua ya kwanza pamoja ni vizuri zaidi kuliko na kuweka masharti ambayo mwishowe yanakugharimu.

Nina imani jamaa alidanganya kwa kuwa binti alitaka mtu mwenye kazi.
 
Uko sahihi, kuna mdada jirani yetu yalimkuta haya na alijisifu na kujiona matawi ya juu kwa kumpata mume anaefanya kazi bank. Tuliokuwa tunammendea alituona takataka. Kumbe jamaa alikuwa ni mfanya usafi tu. Mpaka sasa hakuna ndoa binti alikimbia baada ya kujua ukweli. Mpaka unajiuliza huyu aliolewa na kazi au mtu?
 
Maslay queen wanakutana na mashababi mchezo unaisha
 
Ukweli umweka mtu huru, kwani ukisema ukweli mi mpiga debe stend, Kama mandonga enzi zake, sahivi star tembele la hamu hata akichuja nyumba za wapangaji zitampa Ela ya dagaa, mkewe kavumilia sa hivi anakula matunda.
 
Kidume unakuwa mmbeya?.
 
Hii haina tofauti na mwanamke akuambia anaweza kuzaa ilhali anajua alishawah toa na hatakaa apate.Ukiingia kwenye ndoa ndio unakuja kujua.Tujifunze kuwa wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…