Wanajamvi
Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi;
1 Awe mcha Mungu
2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini
3.Asiwe mfupi wala kibonge .Awe mrefu wa wastani
4. Rangi yeyote.
5.Awe na elimu ya chuo
6.Awe amejiajiri au ameajiriwa.(au hata kama hana kazi lakini yupo tayari kuwa mchakarikaji)
7.Awe na umri kati ya miaka 28 - 35
8.Asiwe na mtoto
9.Asiwe mwanasheria
Kwa wale walio serious tu wani PM kwa maelezo zaidi hasa yanihusuyo mimi.
Asante na karibuni