Karibu kwangu mke mwema

Karibu kwangu mke mwema

ngolomiko

Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
10
Reaction score
9
Wanajamvi
Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi;
1 Awe mcha Mungu
2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini
3.Asiwe mfupi wala kibonge .Awe mrefu wa wastani
4. Rangi yeyote.
5.Awe na elimu ya chuo
6.Awe amejiajiri au ameajiriwa.(au hata kama hana kazi lakini yupo tayari kuwa mchakarikaji)
7.Awe na umri kati ya miaka 28 - 35
8.Asiwe na mtoto
9.Asiwe mwanasheria

Kwa wale walio serious tu wani PM kwa maelezo zaidi hasa yanihusuyo mimi.
Asante na karibuni
 
Kwann suala la kupima HIV hamlipi nguvu??

Aminn nawambia Vijana wenzangu. Ukimwi upo wana ,upo na unaua. Unaua kuanzia ile siku ya kwanza umeambiwa upo na tatizo.

Mbaya sasa, ni ile kila siku kunywa madawa..

Kama iyo haitoshi. Haya madawa yanawafanyaga wanaota ndoto za ajabu ajabu. Mtu anaota anakimbizwa na kibwengo , sijui anatafunwa na simba..mara yupo kwenye shimo kubwaaaa limejaaa damu ,mara amekimbia we ghafla dunia ikaanza kutikisika.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Dah hapo kwenye dini tu nimekosa,ila mkuu I'd yako ya zamani ni ipi🤔?
 
Hivi huwa mko serious kabisa! Ndoa siku hizi inatangazwa kama nafasi za kazi kweli!! Wazazi hebu tuingilie kati suala hili tuwasaidie vijana wetu kama ilivyokuwa awali. Maana tangu tuwaachie jukumu hili mambo yamepangaranyika kabisa.
 
Kijana yuko Wapi kapotea wachumba tumejitokeza huku
 
Wanajamvi
Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi;
1 Awe mcha Mungu
2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini
3.Asiwe mfupi wala kibonge .Awe mrefu wa wastani
4. Rangi yeyote.
5.Awe na elimu ya chuo
6.Awe amejiajiri au ameajiriwa.(au hata kama hana kazi lakini yupo tayari kuwa mchakarikaji)
7.Awe na umri kati ya miaka 28 - 35
8.Asiwe na mtoto
9.Asiwe mwanasheria

Kwa wale walio serious tu wani PM kwa maelezo zaidi hasa yanihusuyo mimi.
Asante na karibuni
Umri wako utakuwa zaidi ya 40 yrs hapo ushaoa hata mara 2 na kuacha, huko mtaani huwaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom