Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,411
- 4,777
....na unavyopenda,nlijua tu utauliza.
Hivi mmeshazindua ile huduma ya kunyoa "public hair" !??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mmeshazindua ile huduma ya kunyoa "public hair" !??
Miguuni pia lkn sijui ndo inaitwa pedicure sijui ha ha ha!kwani scrub huwa yafanywa wapi na wapi bibie?
miye nataka ya kawaida tu ya usoni...hadi huku shingoni na kichwani
oooh!! basi miye nikajua kuna vinyusi huwa vyachomoza chomoza nje ya g-string ndio wataka kuvivyelelea mbali
nafikiria mtindo wa kusuka alafu nije
Ila,sitaki yafuatayo:
kuvutwa,
stori za siasa
mapinduzi
natumaini mnaviti vyenye sponji wateja tusiumie na muziki kwa mbaaliii
Miguuni pia lkn sijui ndo inaitwa pedicure sijui ha ha ha!
hahaa haa Washawasha nitake radhi bana mie mteja wa kusuka.
hivyo vina utamu wake atii. ila hii ya waxing tumeshakubaliana na paw nibadili style.
Excellent kuna mtu anataka umnyoe hukuNataka ninyoe punk nimechoka kusuka, ila nataka ninyolewe na Excellent
hahaa haa Washawasha nitake radhi bana mie mteja wa kusuka.
Kuna saluni zina mambo mjini hapa wee acha tu, eti wananyoa nywele za puani na masikioni
we mtoto weeee!!!:shocked:
njoo nikunyoe miss wa kinyaru,ila usisumbue napokunyoa unatulia vizuriNataka ninyoe punk nimechoka kusuka, ila nataka ninyolewe na Excellent