Karibu kwenye saluni ya jf

Karibu kwenye saluni ya jf

nafikiria mtindo wa kusuka alafu nije

Ila,sitaki yafuatayo:
kuvutwa,
stori za siasa
mapinduzi
natumaini mnaviti vyenye sponji wateja tusiumie na muziki kwa mbaaliii

Da' mwallu excuse me!
And i beg your pardon!
Sijaelewa vizuri hapo ulipodai hutaki/hupendi "KUVUTWA"!
Bila kuweka openly kuvutwa NINI ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom