Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiishalipa hiyo ada utapewa ji-form kuuubwa ulijaze kisha utaambiwa hujakidhi vigezo!!!bongo mchezo huu upo sana refer tunayoyasikia kwenye matangazo ya shule na kuuzwa viwanja vinavyosimamiwa na serikali etc...Mtoe tu mikopo bila faida yoyote ile? Hata nyie wezi. Fafanueni hiyo ada ya kujiunga tuone
Tafadhali ndugu Tafadhali.......jamaa kasema ada laki moja sasa lol 😀 😀 😀Habari wakuu katika pitapita zangu humu jf nimekutana na huu uzi wa mkuu great kali binafsi nilikuwa na mawili au matatu ya kuzungumza juu ya hiyo kampuni japokuwa kila mmoja ana imani yake naomba nianze hivi mnamo tar 22/06/2018 nilikutana na tangazo la huyu jamaa na nambari zake za simu ni hizo hizo nikafanya nae mawasiliano nikihitaji mkopo wa tsh 4,000,000 nikamuuliza juu ya vigezo akinielezea finally shughuli ikaja kwenye kutuma pesa ya surveyor aje kukagua aisee kwa mambo ya mtandao yalivyo ilinichukulia takribani siku tatu kufikiria mwisho wa siku nikajitoa kimaso maso nikatuma pesa ya surveyor nikiamini kama nimehonga pesa yangu baada ya siku moja surveyor alifika ofisini kwangu na kukagua ilichukuwa siku moja kufika kwa sababu ofisi zao zipo mpanda baada ya surveyor kufika aliidhinisha mkopo wangu wa 4,000,000 kama picha inavyoonyesha hapo chini,sina la zaidi.
BARIKIWAView attachment 800855
Yah mkuu ni kweli ada ni Tsh 100k sasa sijui wewe mwenyewe its up to you chief ila ushuhuda ndiyo huo niliotoa hapo juuTafadhali ndugu Tafadhali.......jamaa kasema ada laki moja sasa lol 😀 😀 😀
Unalipa kabla au baada ya mkopoYah mkuu ni kweli ada ni Tsh 100k sasa sijui wewe mwenyewe its up to you chief ila ushuhuda ndiyo huo niliotoa hapo juu
Matapeli hawa mkuuNi kwa nini ada ya mkopo msiikate moja kwa moja kwenye mkopo mnaoutoa? Kama nakopa laki5 na ada ni 20K, si muitoe hiyo 20k kutoka hiyo laki5
Matapeli hawa mamaMbona kwenye ada husemi? Na mnaendeshaje ofisi kama hamcharge riba kwenye mikopo yenu???
Nimemshtukia na mimi.Matapeli hawa mama
Uje na mrejesho pls nataka kujitosaimeka vyema hii ngoja niacheki , asee
Hata usijali ndugu yanguSorry nimequote kwako kwa bahati mbaya tu
Kablaaa wanasema ni gharama ya usafiri wa mkaguzi kuna kucheki biashara yako ...unaweza tuma nusu then mkopo ukiingia unamaliziaUnalipa kabla au baada ya mkopo
Huo mkopo mbona kama vile hiyo ni symbol ya chek au sielewi vizuri naomba msaada kueleweshwa wa jamenHabari wakuu katika pitapita zangu humu jf nimekutana na huu uzi wa mkuu great kali binafsi nilikuwa na mawili au matatu ya kuzungumza juu ya hiyo kampuni japokuwa kila mmoja ana imani yake naomba nianze hivi mnamo tar 22/06/2018 nilikutana na tangazo la huyu jamaa na nambari zake za simu ni hizo hizo nikafanya nae mawasiliano nikihitaji mkopo wa tsh 4,000,000 nikamuuliza juu ya vigezo akinielezea finally shughuli ikaja kwenye kutuma pesa ya surveyor aje kukagua aisee kwa mambo ya mtandao yalivyo ilinichukulia takribani siku tatu kufikiria mwisho wa siku nikajitoa kimaso maso nikatuma pesa ya surveyor nikiamini kama nimehonga pesa yangu baada ya siku moja surveyor alifika ofisini kwangu na kukagua ilichukuwa siku moja kufika kwa sababu ofisi zao zipo mpanda baada ya surveyor kufika aliidhinisha mkopo wangu wa 4,000,000 kama picha inavyoonyesha hapo chini,sina la zaidi.
BARIKIWAView attachment 800855
Hiyo ni chek ya mkopo niliopatiwa halafu bandugu ni hivi sihitaji maswali zaidi mimi nilichoongea kimejitosheleza kabisa akili vichwani mwenuHuo mkopo mbona kama vile hiyo ni symbol ya chek au sielewi vizuri naomba msaada kueleweshwa wa jamen