Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

Usiwe mwepesi wa kutoa fursa kama hizi ikiwa huna uwezo wa kujenga hoja na kuwashawishi watu. Mtu anapowatuhumu kuwa nyie ni wapigaji hii ndiyo ilikuwa nafasi yako nzuri kumuelewesha nini lengo lenu kama ni upigaji au kusaidia jamii.
Mkuu kuna watu wana ubongo wa mende hata ukimuelewesha vp haelewi ndiyo maana nimemwambia kama anaamini negative aendelee hivyo hivyo.
 
Hyo smell hata mie naihis hapa kwa pua yangu. Mteremko mkali huu mh icje kuwa mwisho ni ajali km ule mteremko wa kitonga
Hakuna slope hapo hatutoi pesa bure tunakopesha isipokuwa tu masharti ni rafiki sana
 
Mkuu kuna watu wana ubongo wa mende hata ukimuelewesha vp haelewi ndiyo maana nimemwambia kama anaamini negative aendelee hivyo hivyo.
Take ur time mkuu ujibu maswali. Ndio tuna shida ya hela lakini security ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…