great kali
Member
- Mar 11, 2018
- 54
- 34
- Thread starter
- #101
[emoji122][emoji122][emoji122]...mkuu hakuna MTU anaweza sumbua kupata mkopo,..hivyo hiyo hoja yako sio kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122][emoji122][emoji122]...mkuu hakuna MTU anaweza sumbua kupata mkopo,..hivyo hiyo hoja yako sio kweli
...ila kuna watu mtawakamata mkuu-keep on going with your move.[emoji122][emoji122][emoji122]
Sawa IGWE...ila kuna watu mtawakamata mkuu-keep on going with your move.
Habari wakuu katika pitapita zangu humu jf nimekutana na huu uzi wa mkuu great kali binafsi nilikuwa na mawili au matatu ya kuzungumza juu ya hiyo kampuni japokuwa kila mmoja ana imani yake naomba nianze hivi mnamo tar 22/06/2018 nilikutana na tangazo la huyu jamaa na nambari zake za simu ni hizo hizo nikafanya nae mawasiliano nikihitaji mkopo wa tsh 4,000,000 nikamuuliza juu ya vigezo akinielezea finally shughuli ikaja kwenye kutuma pesa ya surveyor aje kukagua aisee kwa mambo ya mtandao yalivyo ilinichukulia takribani siku tatu kufikiria mwisho wa siku nikajitoa kimaso maso nikatuma pesa ya surveyor nikiamini kama nimehonga pesa yangu baada ya siku moja surveyor alifika ofisini kwangu na kukagua ilichukuwa siku moja kufika kwa sababu ofisi zao zipo mpanda baada ya surveyor kufika aliidhinisha mkopo wangu wa 4,000,000 kama picha inavyoonyesha hapo chini,sina la zaidi.
BARIKIWAView attachment 800855
...yeah sure,..huyo ni mmoja wao mkuukwenye utapeli wowote lazima atokee mtu wa pili.. kumsapot wa kwanza na kujifanya hawajuani.. wewe ni part of the team. hata kama umekasirika ila ukweli unaujua moyoni mwako.. mkopo bank gani ukipewa unapewa cheque kubwa hivyo kama umeshinda biko?
hapo mlikuwa kwenye promotiona strategy.. wewe ni mwenzao unajifanya huwajui
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umesema kweli kabisa, kwenye ishu ya utapeli lazima atokee mtu ajifanye hawajuani ili watu wengi waingie king, we cheque iko kama umeshinda bikokwenye utapeli wowote lazima atokee mtu wa pili.. kumsapot wa kwanza na kujifanya hawajuani.. wewe ni part of the team. hata kama umekasirika ila ukweli unaujua moyoni mwako.. mkopo bank gani ukipewa unapewa cheque kubwa hivyo kama umeshinda biko?
hapo mlikuwa kwenye promotiona strategy.. wewe ni mwenzao unajifanya huwajui
Umekuja kwa ID nyingine kusapoti utapeli wenu, mnaona raha gani kutapeli wenzenu? labda mtawapata wajinga lkn mwenye akili hatathubutu.Habari wakuu katika pitapita zangu humu jf nimekutana na huu uzi wa mkuu great kali binafsi nilikuwa na mawili au matatu ya kuzungumza juu ya hiyo kampuni japokuwa kila mmoja ana imani yake naomba nianze hivi mnamo tar 22/06/2018 nilikutana na tangazo la huyu jamaa na nambari zake za simu ni hizo hizo nikafanya nae mawasiliano nikihitaji mkopo wa tsh 4,000,000 nikamuuliza juu ya vigezo akinielezea finally shughuli ikaja kwenye kutuma pesa ya surveyor aje kukagua aisee kwa mambo ya mtandao yalivyo ilinichukulia takribani siku tatu kufikiria mwisho wa siku nikajitoa kimaso maso nikatuma pesa ya surveyor nikiamini kama nimehonga pesa yangu baada ya siku moja surveyor alifika ofisini kwangu na kukagua ilichukuwa siku moja kufika kwa sababu ofisi zao zipo mpanda baada ya surveyor kufika aliidhinisha mkopo wangu wa 4,000,000 kama picha inavyoonyesha hapo chini,sina la zaidi.
BARIKIWAView attachment 800855
Hamna shuhuda hapo wote matapeliJamani tofauti na shuhuda huyo aje mwingine ....mambo yakujipeleka kibra mwenyew staki
Multiple IDs.Jamani tofauti na shuhuda huyo aje mwingine ....mambo yakujipeleka kibra mwenyew staki
Umekuja kwa ID nyingine kusapoti utapeli wenu, mnaona raha gani kutapeli wenzenu? labda mtawapata wajinga lkn mwenye akili hatathubutu.
Mpanda katavi???? Yereeeeuuuuwiiii ...hawa wamezidi kwa kweli. .akitaka hiyo laki akate baada ya kutoa mkopo otherwise hapati mtu tabu hapaHAMNA KITU HAPO,NIMEPIGA HIYO SIMU JAMAA ANABABAIKA ANASEMA YUKO MPANDA HAPA DAR HAWANA OFISI ILA KAMA NATAKA NILIPE LAKI MOJA WAMTUME INSPETOR WAO AJE AKAGUE DHAMANA SAA SABA NAPATA MKOPO.HAWA NI WEZI TU HAMNA JINA JINGINE.
kwa ujumla huu ni utapeli wa aina yake hawa watu wanataka wajitajirishe waoUkiishalipa hiyo ada utapewa ji-form kuuubwa ulijaze kisha utaambiwa hujakidhi vigezo!!!bongo mchezo huu upo sana refer tunayoyasikia kwenye matangazo ya shule na kuuzwa viwanja vinavyosimamiwa na serikali etc...
Utakuta wanatafutwa wahusika mfano 100,karatasi zinatoka 300 nyie 200 kama hamkukidhi vigezo pesa zenu elf20 sijui elf10 mtaenda kuwadai babu zenu huko waliko.
Watakaoingia kwa hawa jamaa wawe makini kidogo wasije wakawa wao ndo fursa ya hiyo kampuni.