Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

kwenye utapeli wowote lazima atokee mtu wa pili.. kumsapot wa kwanza na kujifanya hawajuani.. wewe ni part of the team. hata kama umekasirika ila ukweli unaujua moyoni mwako.. mkopo bank gani ukipewa unapewa cheque kubwa hivyo kama umeshinda biko?

hapo mlikuwa kwenye promotiona strategy.. wewe ni mwenzao unajifanya huwajui

...yeah sure,..huyo ni mmoja wao mkuu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umesema kweli kabisa, kwenye ishu ya utapeli lazima atokee mtu ajifanye hawajuani ili watu wengi waingie king, we cheque iko kama umeshinda biko
 
Hawa nishakutana nao sana ukiwaukiza ofisi zilipo wanakumbia kigamboni ada yao wanademaga elfu 80 mikopo yote kama una gharama wanakata juu kwa juu
 
Umekuja kwa ID nyingine kusapoti utapeli wenu, mnaona raha gani kutapeli wenzenu? labda mtawapata wajinga lkn mwenye akili hatathubutu.
 
Umekuja kwa ID nyingine kusapoti utapeli wenu, mnaona raha gani kutapeli wenzenu? labda mtawapata wajinga lkn mwenye akili hatathubutu.

HAMNA KITU HAPO,NIMEPIGA HIYO SIMU JAMAA ANABABAIKA ANASEMA YUKO MPANDA HAPA DAR HAWANA OFISI ILA KAMA NATAKA NILIPE LAKI MOJA WAMTUME INSPETOR WAO AJE AKAGUE DHAMANA SAA SABA NAPATA MKOPO.HAWA NI WEZI TU HAMNA JINA JINGINE.
 
Mpanda katavi???? Yereeeeuuuuwiiii ...hawa wamezidi kwa kweli. .akitaka hiyo laki akate baada ya kutoa mkopo otherwise hapati mtu tabu hapa
 
Vitendo vya uhalifu na mbinu mbalmbal za utapeli ni viashilia vya maisha magum mtaani
 
inabidi kuwa makini maana sijawai ona unapewa mkopo bila riba sijui hii

ofisi zenu ziko wapi nije hapo nina maswali mengi nataka kuwauliza
 
kwa ujumla huu ni utapeli wa aina yake hawa watu wanataka wajitajirishe wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…