Hatujahamia kwa mama Samia, ila tupo na rais wetu kwa nyakati zote hata ww ukiwa rais tutakuwa upande wako.Upepo umebadilika mara hii mmehamia kwa mama Samia?! Duuh
Sio jambo la kuongea kwa woga, rais wetu mama Samia Suluhu ni mpaka 2030 akitupendeza zaidi basi nae tunamuongezea mudaMimi naomba ile desturi yetu tuliyojiwekea wana-CCM ya kumwachia mgombea wetu wa kiti cha urais kugombea awamu ya pili bila kuwa na mshindani.
Hivyo ieleweke mgombea wetu wa mwaka 2025 ni mama yetu SSH na si vinginevyo.
Wengine labda wajipange 2030 huko.
Mlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?Hatujahamia kwa mama Samia, ila tupo na rais wetu kwa nyakati zote hata ww ukiwa rais tutakuwa upande wako.
Teh teh teh kweli ukiwa mnafiki na mishipa ya aibu inakata,hivi ile mitano tena imeishia wapi?Serikali iko imara sana,
Ashukuriwe sana John Pombe Magufuli kwa kumchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamu wake awamu ya kwanza..... na kumchagua tena awamu ya pili.
Hakika Mungu alijua kumtumia Magufuli kuanzia kuijenga Tanzania hadi kuandaa warithi makini katika kuliongoza taifa
Viongozi makini huchagua wasaidizi makini sana
Kila la heri Madame President Samia Suluhu Hassan [emoji173][emoji1241][emoji95]
Lala salama shujaa wetu John Pombe Magufuli [emoji174][emoji174][emoji120]
Then Wait To Be Disappointed Kama Ambavyo Walikuwa Disappointed Waimba Mapambio wa JK! It's a Matter of Time Kabla Hamjaanza kubadili ID Zenu Humu JF!Hatujahamia kwa mama Samia, ila tupo na rais wetu kwa nyakati zote hata ww ukiwa rais tutakuwa upande wako.
Kuna viongozi wakisoma comment kama hii wanaishia kusonya tu.Sio jambo la kuongea kwa woga, rais wetu mama Samia Suluhu ni mpaka 2030 akitupendeza zaidi basi nae tunamuongezea muda
Tupo pamoja, tupo nyuma yako, ng'ong'o ng'ong'o ng'ong'o!
Hivi maisha bila kulamba viatu vya watawala hamuwezi?
Si ni nyie ndo mlikuwa mnasema hakuna mtu wa kuongoza nchi hii zaidi ya marehemu?
Kumbe Samia anaweza? Nyambafu zenu.
Mmeanza kujipenyeza kwa mama ili mkaponze tu mpate kula yenu siyo?
Mhe, rais wetu, kaa mbali na MATAGA, nasisitiza kaa mbali na MATAGA.
Wakajiajri mtaani KENGE hao[emoji23]
Mitano inaendelea .... ni maana ya mgombea mwenzaTeh teh teh kweli ukiwa mnafiki na mishipa ya aibu inakata,hivi ile mitano tena imeishia wapi?