Karibu Mama Samia Suluhu Hassan, Timu JPM Tunakuunga Mkono100%

Mama ssh tunakuomba mama achana kabisa na team jpm watakufitini hao achana nao kabisa mama na ukitaka ubarikiwe jitenge Nao watakuharibia ila napata faraja kuona wazanzibari sio wanafiki na uislam hautaki wanafiki.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hata DJ analaumiwa kifo cha huyo dogo...
Ukithobitisha bila proof inapoteza maana ya maongezi...

Kusema PhD ya Magu sio sababu ya kuuawa... haina uzito
Magu gani alikuwa nice guy?! Mtu wa kwanza kumuua ni Ben Saanane! Crime ipi alifanya Ben Saanane hadi astahili kufa?
 
Akili zako za kitoto ndo zinakutuma kuwa mgombea mwenza huteuliwa na mgombea. Kwamba Magu angeweza hata kumteua mkewe au nyumba ndogo awe mgombea mwenza...

Hizi shule siku hizi zinafundisha ujinga?
Pumbav wwe nimekuita hapa acha kujipendekeza.......
mimba changa inakusumbua....
nitakupiga 0
 
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.
Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.
Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi. Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama
Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.
Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Acheni shobo, nendeni mkaunge mkono ng'ombe zenu
 
Angekuwa hathamini wanawake angemrudisha huyu mama kuwa VP....
akili fupi kweli hii

Acha ujinga wako; kwenye mabaraza yake yote ya mawaziri toka aingie madarakani hakuna uwiano kati ya mawaziri wa kike na wanaume, hata teuzi zake zilifuata mkondo huo huo!! Unakumbuka kati ya mawaziri 19 wakina mama walikuwa wangapi? Nyie watu wa kutoka Chato mmevurugwa akili zenu; you cannot think clearl y now, tulieni mjipange jinsi mtakavyoishi baada ya baba yenu kuondoka kwani aliwadekeza sana.
 
Hana chetu cha kufoji, ila ameunga unga sana baada ya shemeji yake Horace Kolimba aliye mtoa kijinini kufa, asasa hivi anayo Degree ya sheria.

Hizo za OPEN UNIVERSITY ndio wanazo foji!! Ukimuuliza Lukuvi maana ya FIDUCIARY RESPONSIBILITY hawezi kukueleza maana yake na yeye ni waziri mwenye dhaman ya Ardhi ; anayeshuhulika na mabenki yanayokopesha wateja kwa kuweka dhamana ya ardhi yao!! Hao ndio wanasiasa wa FIX tu!!
 
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.

Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.

Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.

Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi.

Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama.

Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.

Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe

Huna ulipogusia barakoa wala tahadhari kwenye mikusanyiko.

Hiiiiii bagosha!

Basi si ungekomelea na hii kabisa jombi:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Tuko vizuri!
 
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.

Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.

Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.

Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi.

Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama.

Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.

Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Mnaanza kujikomba komba siyo?
 
Mnafiki mkubwa wewe. JPM mlimwita President for life, "Atake asitake ataongezewa muda"
hata mwili haujapoa kwenye barafu meshaanza kujikosha kwa Mama Samia?
Samia ni Muislam safi, hataki unfiki, misifa za Meko, nk. Atashauriwa na Wanzazibar au yeyote yule atakayependa yeye, hata Tundu Lissu. Shwain kabisa, Mfyooo!
 
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.

Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.

Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.

Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi.

Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama.

Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.

Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Mfyoo. Mara hii Magu hajapoa hata kwenye nyumba yake ya milele, umeshanza masafa kwa Mzanzibar hataki inafiki, kazi zake zinaongozwa na dua, siyo vijembe, unafiki, misifa, nk.. Inshallah!
 
Mama ssh tunakuomba mama achana kabisa na team jpm watakufitini hao achana nao kabisa mama na ukitaka ubarikiwe jitenge Nao watakuharibia ila napata faraja kuona wazanzibari sio wanafiki na uislam hautaki wanafiki.
Inshallah! Timu ya mapambio iende likizo mpaka 2025
 
Mimi naomba ile desturi yetu tuliyojiwekea wana-CCM ya kumwachia mgombea wetu wa kiti cha urais kugombea awamu ya pili bila kuwa na mshindani iendele kama kawaida.

Hivyo ieleweke mgombea wetu wa mwaka 2025 ni mama yetu SSH na si vinginevyo.

Wengine labda wajipange 2030 huko.
Inshallah! Hakika mimi siyo Muislam ila sina mashaka na huyu mwanamke mwenzangu. Inshallah.

Musiba, Bashite, na MATAGA watafute kazi ya kufanya. Mfyooo!
 
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.

Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.

Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.

Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi.

Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama.

Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.

Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Huyu mingapi? Maandamano mnafanya lini nyie chawa
 
Mimi naomba ile desturi yetu tuliyojiwekea wana-CCM ya kumwachia mgombea wetu wa kiti cha urais kugombea awamu ya pili bila kuwa na mshindani iendele kama kawaida.

Hivyo ieleweke mgombea wetu wa mwaka 2025 ni mama yetu SSH na si vinginevyo.

Wengine labda wajipange 2030 huko.
Hapa mnawaambia nini kina Bashite, Mwigulu na January?? 😅 😅

Wasubiri miaka 15??? Daah

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom