darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufungamana na MATAGA milimwimbia mungu wenu mapambio ya uongo mpaka mkamponza korona imepita nae, sasa mnatafuta pa kuhemea njaa zenu.
Yani hy mitano tena au mpaka kifo ni pamoja na mama SamiaMlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Kuna viongozi wakisoma comment kama hii wanaishia kusonya tu.
Watu walikuwa wanasubiri miaka mitano tu ili wagombee, sasa itabidi wasubiri miaka kumi, January Makamba tu atakuwa na mzee wa 50+ sijamtaja Lukuvi hapo.
Huu utaratibu wetu wana CCM ufuatwe kama miaka yote, 2025 ni Samia.
Alijiendeleza mkuu, elimu yake inamruhusu kugombea.Huyu Lukuvi mnamtaja taja hana upeo kwani kisomo chake ni darasa la saba!! Wakati huu sio wa kuongozwa na wale waliosoma kisomo cha ngumbalu!!!
Ana cheti cha kufoji!!!Alijiendeleza mkuu, elimu yake inamruhusu kugombea.
Dead people never count.Teh teh teh kweli ukiwa mnafiki na mishipa ya aibu inakata,hivi ile mitano tena imeishia wapi?
Hana chetu cha kufoji, ila ameunga unga sana baada ya shemeji yake Horace Kolimba aliye mtoa kijinini kufa, asasa hivi anayo Degree ya sheria.Ana cheti cha kufoji!!!
Mkuu michawa ya JPM sasa inahamia kwa Samia maana bosi wao kafa hivyo hawana namna lazima waende kwa mamaMlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Timu ya nn, kwani soka hili au netball?Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.
Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.
Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi. Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama
Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.
Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Walijiona miungu watu wakasahau Tuna Mungu wa IsraeliMkuu michawa ya JPM sasa inahamia kwa Samia maana bosi wao kafa hivyo hawana namna lazima waende kwa mama
Mlizoea kuishi kwa unafiki na very soon mtamgeuka huyu rais mpya maana hatatetea maslahi ya matumbo yenuPamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.
Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.
Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi. Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama
Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.
Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Huna namna, muunge mkono Mama Samia maana Magufuli ndo hayupo.Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale walioiandaaa maana vinginevyo ingekuwa patashika nani awe Rais wa awamu ya Sita.
Sisi Timu JPM, tunakupokea kwa mikono miwili na tunaahidi kukuunga mkono katika kulitumikia taifa kwa cheo cha Urais.
Tunaamini kwamba, ndani ya miaka sita ukifanya kazi bega kwa bega na Mheshimiwa Rais Magufuli, umejifunza mengi na kupata maarifa, ujuzi na uzoefu katika Uongozi, siasa, uchumi, huduma za jamii, ulinzi wa taifa, chaguzi, usimamizi wa miradi, mahusiano ya kimataifa n.k
Tunaamini yapo mema utakayoyaendeleza na yapo utakayoboresha zaidi. Tupo nawe pamoja, chapa kazi mama
Kwa bandiko hili, niwashawishi wenzangu wooote Timu Magufuli tumuunge mkono Mama huyu Muungwana na mwenye hekima ili aongoze vyema. Usiku na mchana, mvua au jua, tusimame pamoja maana ameondoka Baba, Tumebaki na Mama, Tumuunge mkono.
Hongera sana Mama yetu, Tupo Pamoja nawe
Hatari sana mkuu. Wamuache mama Samia aongoze hizi ni zama zake, asipangiwe afanye kazi chini ya kivuli cha JPM.Mlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Mama anasema taifa letu Lina hazina ya viongozi wengi , lakini Hawa mataga walisema hukuna Kama hayati Sasa naona wameanza kujipendekeza na kulamba unyayo. Akae nao mbali.Tupo pamoja, tupo nyuma yako, ng'ong'o ng'ong'o ng'ong'o!
Hivi maisha bila kulamba viatu vya watawala hamuwezi?
Si ni nyie ndo mlikuwa mnasema hakuna mtu wa kuongoza nchi hii zaidi ya marehemu?
Kumbe Samia anaweza? Nyambafu zenu.
Mmeanza kujipenyeza kwa mama ili mkaponze tu mpate kula yenu siyo?
Mhe, rais wetu, kaa mbali na MATAGA, nasisitiza kaa mbali na MATAGA.
Wakajiajri mtaani KENGE hao[emoji23]