Karibu Mama Samia Suluhu Hassan, Timu JPM Tunakuunga Mkono100%

Mlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Yani hy mitano tena au mpaka kifo ni pamoja na mama Samia
 

Huyu Lukuvi mnamtaja taja hana upeo kwani kisomo chake ni darasa la saba!! Wakati huu sio wa kuongozwa na wale waliosoma kisomo cha ngumbalu!!!
 
Nimeona siku 2 hizi ni kama baadhi ya waliokua moto sasa wamepoa sana..najiuliza waliokua baridi nao wanaenda sasa kuwa moto?
 
Mlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Mkuu michawa ya JPM sasa inahamia kwa Samia maana bosi wao kafa hivyo hawana namna lazima waende kwa mama
 
Timu ya nn, kwani soka hili au netball?

Mwache mama aunde timu yake, ukitaka ishabikie hutaki tulia.

Kila kocha ana kikosi chake, usimwingilie
 
Mataga,ndio kimewauma sana hiki kifo na wasukuma, sasa karata pekee waliyobakiwa nayo ni kuomba bashiru ateuliwe makamu wa rais. Bashiru aliteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi kimkakati zaidi wa kutaka nafasi zote za teuzi wapewe.Mungu wetu anayejua kesho yetu ameingilia kati kutunykutunysukutunysur
 
Mlizoea kuishi kwa unafiki na very soon mtamgeuka huyu rais mpya maana hatatetea maslahi ya matumbo yenu
 
Huna namna, muunge mkono Mama Samia maana Magufuli ndo hayupo.
 
Mlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Hatari sana mkuu. Wamuache mama Samia aongoze hizi ni zama zake, asipangiwe afanye kazi chini ya kivuli cha JPM.
 
Mama anasema taifa letu Lina hazina ya viongozi wengi , lakini Hawa mataga walisema hukuna Kama hayati Sasa naona wameanza kujipendekeza na kulamba unyayo. Akae nao mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…