Karibu Mama Samia Suluhu Hassan, Timu JPM Tunakuunga Mkono100%

Then Wait To Be Disappointed Kama Ambavyo Walikuwa Disappointed Waimba Mapambio wa JK! It's a Matter of Time Kabla Hamjaanza kubadili ID Zenu Humu JF!

JPM is alive through Samia...

Upinzani jiandaeni kusema huyu mama bora ya JPM nia zenu ovu zitakapokwama...
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufungamana na MATAGA milimwimbia mungu wenu mapambio ya uongo mpaka mkamponza korona imepita nae, sasa mnatafuta pa kuhemea njaa zenu.

Upinzani umeshinda....
Ila CCM ni ileile....

Katoka Mwameja anaingia Pazi[emoji3]
 
Angekuwa hathamini wanawake angemrudisha huyu mama kuwa VP....
akili fupi kweli hii
 
Mmechemka kumwongezea Magu muda mnajipendekeza kwa mama. Mama sio msukuma hapendagi sifa za kijinga... atawaumbua malabuku zenu...

Sasa jipendekezeni muaibike tena. ..

Mkijipendekeza kwa mwanadamu mjue kuna wanaojipendekeza kwa Mungu
 
Yaani fursa yenu inaishia hapo hapo Jiwe alipodondoka! Hii ni zamu ya vijana wa visiwani, mliwanyasanyasa sana !
 
Mh.Rais tenda kwa utashi wa tunu na uwezo alikujaalia Mungu

Tenda haki,achana kabisa na timu au magenge yaliyomzunguka Magu kwa ajili ya upigaji na madaraka.

Sie wananchi tuna imani na wewe na tunakuombea
 
Badala ya kuomboleza nyie mmeshaanza kuwaza uongozi? subirini basi hata azikwe
 
Acheni Mambo Yanyoleta Kinyaa
Masuala Ya Team Yamepitwa Na Wakati
 
Dah! Mataga mmepaniki kweli kweli! Mmepoteana! Hata hamuelewi kwa kwenda! Mnadhani huyu mama naye atajigeuza kuwa mungu mtu ili mumuabudu na kumpamba kama yule aliyepita!!

Nawaona tu misukule mnavyo taabika!; 😇Mjiandae kushindia malimao na ndimu! Njaa ndiyo imeshangia hivyo. Hakuna kwa kuimbilia. 😃
 
JPM is alive through Samia...

Upinzani jiandaeni kusema huyu mama bora ya JPM nia zenu ovu zitakapokwama...
Samia hawezi kuwa katili na muuaji kama Magufuli! Labda mtakaosema "huyu mama bora ya JPM" ni nyinyi wenyewe baada ya kuwa mmeshabadili ID zenu kwa sababu wengi wenu hamuongozwi na itikadi za chama bali za ukabila! Na kwavile Samia sio wa kabila lenu, it's a matter of time kabla hamjaanza kumshambulia hasa akianza kuonesha utendaji utakaodhihirisha udhaifu wa Mungu Mtu wenu! KEEP THIS POST!
 
Wakuu tushau tofauti zetu, zingine za kutengenezwa.
Sisi waTanzania ni wamoja siku zote na tugange yajayo.

Mama Samia ataendelea na kutatua matatizo yale yale yanayotukabili kila uchao.
Tumtakie Mama uongozi mwema.
 
Mtakaosababisha Samia awe muuaji ni nyinyi wenyewe....

Hata Magu was nice na alitumia sera za upinzani pale mwanzoni.. wapinzani walipoona anabana sana mkaanza matusi personal na kuhakikisha hafanikiwi. ..

Am not sure kama aliua any ila kama alifanya ni kutokana na ujinga wenu..

Hata mama atakuwa pushed soon awe kichaa... hasa kwa maslahi yenu binafsi.

Kuna pimbi Magu anaunda tume yeye anashawishi tume isifanye walichotumwa kulinda maslahi ya wazungu... kilichomkuta bahati mbaya.... mnatuma watu wakamate assets za serikali... boycotting

Soon mtasema bora Magu....

Naupenda upinzani ila njaa inapotezaga mwelekeo...

Tunza maneno yangu...
 
Magu gani alikuwa nice guy?! Mtu wa kwanza kumuua ni Ben Saanane! Crime ipi alifanya Ben Saanane hadi astahili kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…