Karibu Mama Samia Suluhu Hassan, Timu JPM Tunakuunga Mkono100%

Mlipokuwa mnamwimbia jiwe nyimbo za kusifu kuwa hakuna mwingine kama yeye anaeweza kuongoza nchi,mitano tena na ikiwezekana hadi kifo Mama alikuwa hajazaliwa?
Hahaaa. Mkuu wengine wameanza kufuta posts zao twiter, fb na nk. Aibu kubwa
 
Mbona povu limekutoka mpaka mkyunduni...
vp ww unawashwa!
 
Kweli kabisa HATUNA USALAMA WA TAIFA MAKINI otherwise tusingekuwa na wajinga kama Musiba wanalichafua taifa kwa njaa zao!
UWT kwa kweli wamepoteza sifa ya kiutendaji kwa weledi.
Katika awamu hii chini ya JPM wamekuwa kama ma boyscout kupelekeshwa kama mkuu navyo waelekeza.
Sifa na shukrani ziende JWTZ ambao kimsingi wako intact na wananchi tumeona jinsi wasivyo jiingiza katika siasa za kivyama na matumizi mabaya ya madaraka.
Na pengine UWT hawapati feedback, kuna watu wen weng wastaafu wasioridhishwa na jinsi mlivyobadilik for the worse, siyo kama mlivyokuwa miaka ya nyuma.
 
Hivi hata wanasiasa wazungu ni wanafiki kama walivyo hawa wansiasa wetu huku?
 
Hamnq jinsi kwqni timu yenu ungekataa kungekuwa na madiliko yoyote
Mama Samia bado angekuwa Rais tuu
 
Hongera kwa Mama Samia Suluhu.

Pumzika kwa amani JPM
 
Mama ssh tunakuomba mama achana kabisa na team jpm watakufitini hao achana nao kabisa mama na ukitaka ubarikiwe jitenge Nao watakuharibia ila napata faraja kuona wazanzibari sio wanafiki na uislam hautaki wanafiki.
Kwa mantiki hii naanza kusoma magazeti tena mana yatakuwa huru sasa
 
Sawa kabisa.
 
Unnecessary matusi na upinzani usiotija ni kikwazo kwa viongozi wazuri.. ..

Wakikisoa kwa ustaarabu na heshima kwa mwanamke tutakuwa na nchi bora sana....

Ila kuna upinzani matumbo na matusi... na wengine wa twitter wako kwenye payrolls z wazungu kwa ajira ya kutukana then hata mama atakuwa mkali na tutamuita dikteta...
Mwanamama samia ni ccm, Ccm ile iliyozoea kutukanwa na wapinzani na yenyewe kuongoza watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…