Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
- Thread starter
-
- #41
Gharama za usafrishaji utofautina kutokana na MTU au Kampuni unayotumia kusafirisha konteina.Na gharama za usafirishaji mfano kutoka dar to mbeya
Mkuu karibu , unahitaji kujua bei za futi 20 au futi 40?
Mleta mada tusaidie na hili jibu, linaweza kuwa kishawishi kwa wanunuaji.Na gharama za usafirishaji mfano kutoka dar to mbeya
Wewe kwa uzoefu wako hali ikoje?Gharama za usafrishaji utofautina kutokana na MTU au Kampuni unayotumia kusafirisha konteina.
Je unahitaji kusafirisha futi 40? Au 20?
20Mkuu karibu , unahitaji kujua bei za futi 20 au futi 40?
Yes -Mkuu nimemjibu nimemuuliza aina ya konteina analohitaji kusafirisha ni futi 40 au 20?Mleta mada tusaidie na hili jibu, linaweza kuwa kishawishi kwa wanunuaji.
Tupe bei ya zote mbili mkuuGharama za usafrishaji utofautina kutokana na MTU au Kampuni unayotumia kusafirisha konteina.
Je unahitaji kusafirisha futi 40? Au 20?
Sawa nitafika hapo Monday afternoonMkuu gharama zipo hivi Kwa futi 20
Grade A 4.5 million
Grade B. 4.3 million
Grade C 4. Million
Ila Kwa upande wa grade c kuna punguzo kidogo badala ya mil 4 unaweza kujipatia konteina lako Kwa 3.9 million
Karibu.
Sawa nitafika hapo Monday afternoon
Sisi watanzania tu a mapungufu kadhaa kwenye shughuli zetu za kila siku. Hatuwi serious na kile tunachofanya.Yes -Mkuu nimemjibu nimemuuliza aina ya konteina analohitaji kusafirisha ni futi 40 au 20?
Gharama zaweza kutofautina Kuto kana na ukubwa wa mzingo .
Huu ni ukweli mchungu, anarukaruka tu badala ya kujibu swali.Sisi watanzania tu a mapungufu kadhaa kwenye shughuli zetu za kila siku. Hatuwi serious na kile tunachofanya.
Mfano wewe ni Muuzaji wa makontena sijui una uzoefu kiasi gani lakini unapaswa kukijua kitu nje ndani.
Kabla Mteja hajauliza wewe unakua tayari unajua gharama ya kusafirisha angalau hata kwa makadirio tu.
Sasa anakuuliza wewe unauliza tena et 20 kwa 40?
Kwanini hujui bei ya kusafirisha kwa aina zote za makontena?..Kwa nini hujui magari au kampuno gani zinaweza kusafirisha na destination zipi?
Unapaswa kutwambia mtu akinunua Dar kwenda Tabora inaweza kumgharim mathalani laki tano. Akienda Mbeya mathalani laki 6. Na ukampa na connection namna ya kusafirisha kw urahisi. Hapa watu wana hamu ya kununua lakini wanapata wasi wasi namna ya kuwafikia.
nini kinatofautiisha grade A, B&C?Mkuu gharama zipo hivi Kwa futi 20
Grade A 4.5 million
Grade B. 4.3 million
Grade C 4. Million
Ila Kwa upande wa grade c kuna punguzo kidogo badala ya mil 4 unaweza kujipatia konteina lako Kwa 3.9 million
Karibu.
Sisi watanzania tu a mapungufu kadhaa kwenye shughuli zetu za kila siku. Hatuwi serious na kile tunachofanya.
Mfano wewe ni Muuzaji wa makontena sijui una uzoefu kiasi gani lakini unapaswa kukijua kitu nje ndani.
Kabla Mteja hajauliza wewe unakua tayari unajua gharama ya kusafirisha angalau hata kwa makadirio tu.
Sasa anakuuliza wewe unauliza tena et 20 kwa 40?
Kwanini hujui bei ya kusafirisha kwa aina zote za makontena?..Kwa nini hujui magari au kampuno gani zinaweza kusafirisha na destination zipi?
Unapaswa kutwambia mtu akinunua Dar kwenda Tabora inaweza kumgharim mathalani laki tano. Akienda Mbeya mathalani laki 6. Na ukampa na connection namna ya kusafirisha kw urahisi. Hapa watu wana hamu ya kununua lakini wanapata wasi wasi namna ya kuwafikia.
Hii iko hadi maofsini. Unamkuta mtu yukp kazini miaka mitatu hadi mitano lakini hajui Abcd za kile anachofanya kila siku.Huu ni ukweli mchungu, anarukaruka tu badala ya kujibu swali.
Asante kwa majibu mazuri hivi ndivyo inatakiwa.Samahani Sana mkuu Kwa hilo
Utaratibu huwa huko hivi mkuu
Ukiwa mfano unahitaji kusafirisha konteina huwa tunawasiliana na mwenye mzigo ili kupunguza gharama
Mfano konteina lako utaweka mzigo fulani ndani yake then mwenye mzigo na mwenye konteina mtashare cost ili kupunguza gharama .
bei ya mbeya inaweza kuwa 2.5 million Ila mkishare cost gharama itakuwa million 1 na laki mbili na nusu
Asante kwa majibu mazuri hivi ndivyo inatakiwa.
Mungu akuinue ktk kazi yako.
Insha Allah
nini kinatofautiisha grade A, B&C?
Tupe bei ya zote mbili mkuu
Mkuu kama unataka kutengeneza kaghorofa tafuta wataalam nchini Qatar waliojenga ule uwanja wa mpira wakati wa kombe la dunia. Exllent work assured.NAtaka nitengeneze kaghorofa cha container ngoja nije kunua hv usafirishaji kwa mfano toka hapo hadi iringa imekaaje