Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

Kwetu Songwe

Member
Joined
Feb 5, 2024
Posts
10
Reaction score
7
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa.

Karibuni sana,Kidumu chama cha Mapinduzi.

SONGWE1.jpg
 
Back
Top Bottom