Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Nakuonaga una akili lkn nilivoona unalisapoti hili gasho..umenikata stimu[emoji36][emoji16]
Angalau uwe una Panga hoja, so una tukana Kama umekula kisoda.
👉 Hatukuita huku, so kutufata Ni marufuku
👉Matusi wape wazazi wakoo,
 
Mkuu hivi chuki za Nini 🤔🤔, sijakuita Wala hatuna interaction.
👉Ila una pigo za kihanithi aisee
Ukisha weka thd hapa inakua sio mali yako tena,kila mtu yupo free kuichangia,Jamiiforums is an open forums,
Wewe ndio unapigo za kijinga jinga ila huwezi kulitambua hilo.
 
Ukisha weka thd hapa inakua sio mali yako tena,kila mtu yupo free kuichangia,Jamiiforums is an open forums,
Wewe ndio unapigo za kijinga jinga ila huwezi kulitambua hilo.
Mkuu sijapinga Kama ni Uhuru wa Kila mtu kutumia jf. Ila nashangaa ulianza kunitusi na kujifanya perfect liner was watu🤔🤔
 
Ili kuwa Safi, ilikuwa poa. Kabla shetani haja Ingia Kati.
👉 Wish you all the best, you will always be a bro to me National Anthem.
👉I respect your thoughts and decision, so iam off on your radar.. (just joking 😀💪)
 
Back
Top Bottom