Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
881
Reaction score
1,537
Habari ndugu zangu wa JF,

Uzi maalum wa picha aina mbali mbali za vyoo kitchen sink majakuzi vyoo mabeseni bath..Pia material mapya yanayo ingia sokoni aina mbali mbali za cock n.k

Pia unaweza uliza chochote kinacho husiana na bomba kwa ujumla.

Pia nafanya tathimini na thamani ya material ya vifaa vya bomba... 0785707660

FB_IMG_16732655096915554.jpg
 
Hili ni muhimu Sana kupata Price list.

Walau unaweza kuanza kujiwekeza mdogo mdogo baada ya kuona bidhaa na Gharama inayohitajika
Bei kwa ya vyoo
*Kukaa laki moja na kuendelea kulinga na brand

*Cha kuchuchumaa elfu 26 mpaka laki tatu

*Mixer shower laki na 35 na kiendelea

*Single ahower elfu 40 na kuendelea
 
Back
Top Bottom