Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Pombe na ujenzi wapi na wapi mkuu? Nikinywa chupa tatu za bia za buku mbili mbili nikarudi zangu home kulala, chupa tatu ni buku sita sawa nimekunywa tofali sita. Haya tofali sita nitajenga nyumba? Alafu Kumbuka kulewa siyo kuanzia jumatatu Hadi jumapili. Me nafikiri kujenga Ni swala la utashi wa mtu na siyo maswala ya starehe na ulevi. Kuna ambao hawanywi pombe Wala starehe na wanastruggle miaka na miaka wanashindwa hata kununua kiwanja.

Mliojenga mnamchukulia kila asiyejenga Ni mzembe na mlevi. Siyo sawa mnatuonea.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ohoo..kishanuka🤣
 
Ndio mkuu. Nilinununua milioni 3++ nyingi +nyingi nyingi. Ila kwangu kuna tatizo la maji moto. Kwa hiyo badala ya likae tu bora nilitoe. Muundo na ukubwa ni huo huo. Linachukua watu wawili wazima kwa nafasi kabisa.
Samahani pia kuingilia Uzi wako mkuu.
Maji moto hawakuweka au shida kubwa ni hipi kwenye mfumo wa maji moto?
 
😄😄 Hao hua Ni motivational speakers mkuu,usiwamaindi.
Mkuu motivesheni spikazi huwapendi kabisa. Naonaga replies zako nyingi kuwakandia. Ila ni watu wanatukatisha tamaa kuliko kutufanya tupambane. Imajini mtu anaisingizia pombe kisa vijana wengi hawajajenga. So anataka tuhitimishe kwamba vijana hawajengi kisa wanakunywa Sana pombe?

Kuanzia Leo na Mimi naanza kuwachukia motivensheni spikazi.
 
Kujenga ni utashi haiusiani na pombe wala nini wanywa pombe wana mijengo mikali tu kujenga ni maamuzi tu na wakati ukifika ni kama kuoa ni hamu tu inakuja una oa
 
Duh, maana uliposema plumbing nikajua unaweka mabomba! Hivi kufunga ma-sink nayo inaitwa plumbing? Ila hongera mkuu kwa kujikomboa maana vijana wenzio wanamalizia hela kwenye Pombe!
Zote ni plumbing Mkuu

Suala la kujenga nimelipa kipaumbele kikubwa Sana Mkuu, plan yangu nataka nikifika miaka 50 Mungu akinipa Uhai niwe na walau nyumba 20 Mikoa tofauti.

Inshallah Mungu atupe Uzima
 
Pombe na ujenzi wapi na wapi mkuu? Nikinywa chupa tatu za bia za buku mbili mbili nikarudi zangu home kulala, chupa tatu ni buku sita sawa nimekunywa tofali sita. Haya tofali sita nitajenga nyumba? Alafu Kumbuka kulewa siyo kuanzia jumatatu Hadi jumapili. Me nafikiri kujenga Ni swala la utashi wa mtu na siyo maswala ya starehe na ulevi. Kuna ambao hawanywi pombe Wala starehe na wanastruggle miaka na miaka wanashindwa hata kununua kiwanja.

Mliojenga mnamchukulia kila asiyejenga Ni mzembe na mlevi. Siyo sawa mnatuonea.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana starehe yake Mkuu, Ukiona mtu hanywi unaweza Kuta starehe yake ni Chini. Mwingine starehe yake ni kunywa, mwingine anapiga vyote kilevi na Chini 🙌

Kama ulivyosema suala la Ujenzi ni utashi wa mtu ila hivyo vitu viwili vinaweza kuchangia Kutofikia Malengo kwa vijana wengi na watu wazima.
 
Kama umesema wewe,basi sikupingi.
 
Kwa sababu umejenga.
Ni Neema tu Mkuu, wengine tumetokea familia Duni kupindukia kwahiyo ilitulazimu kujinyima vingi kuweza kufikia lengo la kujenga.

Fortunately nimejenga nyumba yangu ya kwanza nikiwa na 32

Haina kukata tamaa, huku Afrika wanasema maisha yanaanza ukiwa na miaka 40. Let's keep hustling 💪
 
Mimi na miaka yangu 50 bado Sina kiwanja. Tatizo kubwa Sana hili.
 
Hung-wall toilet hapa Grohe hawana mpinzani
images.jpeg
 
Back
Top Bottom