Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Vibonge hawawezi shusha chini?
Kinafungwa kwenye frame ambayo inajengewa ndani ya ukuta

images (2) (1).jpeg
 
Hii ni pillar tape ni maalum kwa ajili ya basin za hospital au za nyumbani pia ni mixer maji moto na baridi
255677713490_status_f92bd2737cfb4ae7a930bb74ed994a33.jpg
 
Ijuie bidet..Bidet ni kifaa maalum kwa ajili ya kutapikia na kujitawazia.. Muonekano wake ni kama choo cha kukaa..

Muhimu wa bidet
*Kusaidia kuweka mazingira safi kwa wale wanao tumia kwa ajili ya kutapikia..

*Inawasaidia wazee na wagonjwa kujisafisha baada ya kujisaidia...

UFUNGAJI MFUMO

*Zipo ambazo zina support (mixer)maji moto maji baridi

*Zipo ambazo ni maji baridi tu japo kwa maisha ya sasa ni ngumu kuweka mfumo wa maji baridi tu..

NB..ZINAFUNGWA KARIBU NA CHOO IWE CHA KUKAA AU KUCHUCHUMAA


AINA ZA BIDET

*AUTOMATIC...Hii ina usisha umeme pembeni ina kuwa na batani ukibonyeza ina kusafisha fresh bila shida..ZINA WAFAA ..Wagonjwa waliotoka kujifungua wazee walio pata ajali..

*ZAKAWAIDA...Hizi mara nyingi ni kwa ajili ya kutapikia tu kunawa uso au kusafisha miguu na mara chache kujita wazia..

KUMBUKA HIZI HAZI WAFAI NWAGONJWA.. Labda awepo mtu pembeni wa kumsafisha namanisha walio pooza wanao umwa sana au wazee..

Mara nyingi bidet utazikuta hosptalini majumbani ni wachache wanao ziweka lakini ni muhimu kuwepo..
NORMAL-iStockPhoto-1024px-1283542615.jpg
View attachment 2476740
 
Nitoe ushamba hii inakuaje.
Huu ni mfumo wa kawaida kilicho leta utofauti ni bath tub sehemu ya kuogea una weza kuliagiza nje au ukalinunua kariakoo vile vile uka mtafuta fundi mzuri wa almnium akatungenezea..Mkuu kwenye bomba mifumo ni ile ile kinacho badilika material yanakuwa na urembo wa aina mbalibali
 
Back
Top Bottom