Pombe na ujenzi wapi na wapi mkuu? Nikinywa chupa tatu za bia za buku mbili mbili nikarudi zangu home kulala, chupa tatu ni buku sita sawa nimekunywa tofali sita. Haya tofali sita nitajenga nyumba? Alafu Kumbuka kulewa siyo kuanzia jumatatu Hadi jumapili. Me nafikiri kujenga Ni swala la utashi wa mtu na siyo maswala ya starehe na ulevi. Kuna ambao hawanywi pombe Wala starehe na wanastruggle miaka na miaka wanashindwa hata kununua kiwanja.
Mliojenga mnamchukulia kila asiyejenga Ni mzembe na mlevi. Siyo sawa mnatuonea.
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app