plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
Asante sana Mkuu karibuHongera Mkuu, Kuna mahali nina kibanda nikifika hiyo stage nitaomba huduma yako.
Saivi Mafundi wanamalizia kufunga Tiles, next itakuwa kazi ya Plumbing
Niombe namba ya Simu ili iwe rahisi kukucheki Mkuu.Asante sana Mkuu karibu
Asante 0785707660Niombe namba ya Simu ili iwe rahisi kukucheki Mkuu.
Bidhaa nimezielewa
Shukrani Mkuu πAsante 0785707660
Hili ni muhimu Sana kupata Price list.kiongozi unaweza kuweka na bei ya hizo sanitary ili iwe na msaada zaidi kwetu
Bei kwa ya vyooHili ni muhimu Sana kupata Price list.
Walau unaweza kuanza kujiwekeza mdogo mdogo baada ya kuona bidhaa na Gharama inayohitajika
Ofisi yenu iko maeneo gani hapo Mjini?Bei kwa ya vyoo
*Kukaa laki moja na kuendelea kulinga na brand
*Cha kuchuchumaa elfu 26 mpaka laki tatu
*Mixer shower laki na 35 na kiendelea
*Single ahower elfu 40 na kuendelea
Mkuu me ni fundi lakini Kariakoo bidhaa ni nafuu sana utaokoa kiasi kikubwa cha pesa kuliko mtaani, nitakupa namba pm ya wauzaji Kariakoo.Ofisi yenu iko maeneo gani hapo Mjini?
Nadhani Kuna haja niwatembelee ili kujionea bidhaa nyingi zaidi
Plumbing baada ya tiles?ππππππHongera Mkuu, Kuna mahali nina kibanda nikifika hiyo stage nitaomba huduma yako.
Saivi Mafundi wanamalizia kufunga Tiles, next itakuwa kazi ya Plumbing