Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Kweli kabisa ingeleta utofauti pia kuzuia maji kurudi upande wa pili
Kabisa mkuu ingekuwa kama hii

Screenshot_20221225-064650_Pinterest.jpg
 
Hii ndo changamoto.

Nimegundua maboss wengi wanapenda mwonekano wa nje unakuta kwa nje nyumba kali sana lakini ingia vyooni, bafuni na kwenye jiko kazi za pumbing hazina mvuto.

Huwa inanikera sana hii kitu
Kweli kabisa hili nyumba iwe kali lazima choo bath jiko viwe na muonekano wa kipekee kuvutia
 
Hiki choo kina trap yake kama kilivyo aki itaji kuweka p trap ni kizuri kwa mwonekano bei yake kipo cha elfu 35 na laki moja changamoto zake kina itaji watu wastaarabu sana kwa sababu trap yake sio kubwa sana kwa mtu asye mstaarabu akiweka uchafu ambao sio sahihi mfano pedi karatasi kinazina haraka sana....View attachment 2494077
Kuna mitoto twaishi nayo. Kila ukifungua chamber yao lazima ukutane na pedi
 
Hii ndo changamoto.

Nimegundua maboss wengi wanapenda mwonekano wa nje unakuta kwa nje nyumba kali sana lakini ingia vyooni, bafuni na kwenye jiko kazi za pumbing hazina mvuto.

Huwa inanikera sana hii kitu
Bado watu wana fikra za kimasikini, nyumba zao zinajengwa ki zamani mno, wc ya ajabu mno

Sana sana utakuta wameweka mitaa taa mingi

Hakuna laundry room kazi kuchosha watu na kuharibu nguo
 
Huwa nafatilia sana DIY watu wanarekebisha vyoo hatari mno.

Wazungu wanatumia sana dry walls kuliko matofari. Sisi twashindwa wapi?

Ili kuongeza ubora wanatumia MDF Grade A
 
Hizi na IPS zipi nzuri?
Zote ni nzuri utofauti ni ufungaji katika joint ips inaitaji ukiweka seal tap uweke gundi so panaitaji umakini tu lakini ips uzuri ukitaka kubadili mfumo au maintanance au repair ni easy sana kuliko ppr uzuri wa ppr ni ngumu kutokea mvujo lakini fundi akifunga lazima akikishe awe na kifaa cha kupima kama hakuna mivujo au kama maji yapo aunge hili ajue kama hakuna shida gharama ni zile zile tu utofauti ni mdogo...
 
Back
Top Bottom