Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Huwa nafatilia sana DIY watu wanarekebisha vyoo hatari mno.

Wazungu wanatumia sana dry walls kuliko matofari. Sisi twashindwa wapi?

Ili kuongeza ubora wanatumia MDF Grade A
Unajua choo kizuri chenye mvuto ni gharama kubwa watu wengi kwa kipato chetu wanaweka vyoo na mpangilio wa kawaida kwa kulingana na uwezo wao wa kipato walio nao
 
Bado watu wana fikra za kimasikini, nyumba zao zinajengwa ki zamani mno, wc ya ajabu mno

Sana sana utakuta wameweka mitaa taa mingi

Hakuna laundry room kazi kuchosha watu na kuharibu nguo
Bado watu wana fikra za kimasikini

💯🤝 laundry room muhimu sana
 
Site kidogo
IMG_20230202_094535_9.jpg
 
Kwann mnaweka step.na strainer
Si slope yote ingeenda kwenye choo?
Hapo kuna mifumo miwili ((two pipe system or separated system ) waste na soil kila kimoja kina jitegemea maji ya kuoga,basin,jikoni yanaenda kwenye waste pipe na soil ina baki kupokea kinyesi na mkojo tu..

Faida zake
*Endapo imetokea tatizo ni lahisi kufanya maitanance kwa sababu mifumo aitegemeani.

*Endapo choo kikipata shida mtu ana weza endelea kuoga au waste pipe ikipata shida choo kina tumika kama kawaida

*Ina saidia kutunza septic tank na soak away tank alijai pili bakteria kama arobic na anaerobic wana ishi vizuri kwa kawaida maji ya kuoga una kuta yana shampoo sabuni zenye chemical ni easy kuuwa awa bakteria..wanao saidia kumengenya na kula kinyesi na kuondoa harufu ya kinyesi
 
Kisima kime kufa kwa uzembe na uongo wa wachimbaji hiki kisima kina kina cha mita 70 lakini mabomba pvc pipe yame anzia mita 50 kuja juu pump ilikuwa ina tabia ya kukwama kwenye tope ilipo vutwa kutolewa imeshindikana kabisa kutoka na ilipotumika nguvu ya ziada kamba imekatika na pump kubaki chini kwenye tope milioni 4 za kisima zimezikwa hapo ..
IMG_20221121_124030_1.jpg
 
Back
Top Bottom