plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
- Thread starter
- #241
Unajua choo kizuri chenye mvuto ni gharama kubwa watu wengi kwa kipato chetu wanaweka vyoo na mpangilio wa kawaida kwa kulingana na uwezo wao wa kipato walio naoHuwa nafatilia sana DIY watu wanarekebisha vyoo hatari mno.
Wazungu wanatumia sana dry walls kuliko matofari. Sisi twashindwa wapi?
Ili kuongeza ubora wanatumia MDF Grade A